MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,176
Heshima kwenu wakuu.

Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho.

Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.

Thanks.
 
Terminator ya mwisho imetoka 2019, zipo 6, ambayo sijaiona ni Terminator salvation.
Google andika jina, mfano Terminator genisys HD, zitakuja sites utachagua mwenyewe. I WILL BE BACK.

Ungenipangia katika mtiririko ingependeza sana kiongozi. Ahsante.
 
Back
Top Bottom