wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

    Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa. Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa...
  2. alex001

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kuhusu Mkopo wa Elimu ya Juu

    Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu hivyo bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa Je, nifanye nini ili kufuta admission na...
  3. alex001

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msada wenu kwenye hili wakuu

    Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nlichaguliwa chuo kikuu cha St. Francis morogoro course ya MD Lakin sijabahatika kupata mkopo wa Ada maana nilipewa boom peke yake Sasa kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu sana hadi Sasa hivi bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa. Je, nifanye nini...
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu tunaomba matokeo kombe la Dunia- Huku kwetu hakuna umeme

    Wakuu heshima sana. Huku kwetu madongo kuinama hukuna umeme. Mitaa ya matejoo,Kambi ya Fisi,Matevesi,Olkeriani,Olkokola,Kaloleni,Ngarenaro,Daraja II,Mkonoo na vitongoji vingi hakuna umeme. Kwakuwa Sisi waTanzania tumejaa upendo,tunawaomba wale wote waliojaliwa kumiliki majenereta wasisite...
  5. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wakuu tutafte hela, huyu dingi anakula mali safi, anaendesha Range Rover.

    Mzee anasukuma hii mali safi kabisa.
  6. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Ile picha nimeipata sasa mjiandae kisaikolojia Wakuu

    waungwana, wastaarabu, jamani ile picha niliyokuwa naitafuta usiku na mchana humu JF hatimaye nimeipata, hii hapa.👇👇👇👇 Sasa muwe makini sana wakati mnaandika uongo wenu. 😁😁😁
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa duka la Vito vya thamani Iringa

    Wakuu naomba kupata location ya Duka linalouza Vito vya thamani Kama pete za gold hapa Iringa. Kwani nimezunguka nakutana na masonara tu.. nami cna utaalam sana. Maduka mengi naamini yanauza vitu vya uhakika.. Moshi, Arusha maduka yapo mengi au hapa Iringa ni kumalizana na sonaraz tu?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  9. Isolated

    JamiiForums Tanzania Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Maadili kuhakiki Vigogo 658 wakiwemo Mawaziri na Makatibu Wakuu

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2, 2022 na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi wakati akizungumzia kuhusiana na...
  11. Patriot

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  12. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Waziri balozi Dkt. Pindi Chana akutana na wakuu wa Taasisi za Utalii na Maliasili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Nahisi Rais Putin atafyatua nyuklia kwa hapo alipofikishwa, hilo daraja tungesubirisha kwanza

    Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu sana $4b kulijenga na kalizindua yeye mwenyewe, kwanza mkandarasi alikua swahiba wake wa utotoni...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani wakuu. Zile sanamu za kufukuzia ndege mashambani zinaitwaje?

    Kwa kiingereza wanaita Scarecrow. Kiswahili zinaitwaje.
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? kwetu?
  18. Yofav

    JamiiForums Tanzania Ebu tujadiliane hili suala mara moja wakuu

    Naishi Hapa Dar mtaa fulani, Nina kama mwaka hivi sasa, Na mahali nilipopanga ni pana mazingira mzuri kiasi chake maana mwenye nyumba wetu ni mtu pia anaependa mali zake hivyo basi hayupo nyuma kutuhakikishia tunapata yale mahitaji ya msingi Kama maji kwa haraka zaidi na marekebisho ya dharura...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii elimu tiba mpya ya kupona Kwa kutembea peku inaukweli?

    Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa. Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu. Kuna ukweli wowote katika hili?
Back
Top Bottom