wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuzorota na kutomalizika kwa wakati miundombinu wakati wa utekelezaji wa miradi

    Moja ya kitu Cha kujivunia ni kuzaliwa Katika nchi ya Tanzania, imejaliwa kuwa na vitu vingi vya kuvutia na kupendeza sana vilivyo tapakaa nchi nzima. Mfano wa vitu hivyo ni kama Mlima Kilimanjaro, Mlima meru, Mito mikubwa ikiwemo Malagarasi ,pangani ,Mapolomoko ya Rukwa, Hifadhi za wanyama...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano

    Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia wakati mgumu katika wakati huu wa mapinduzi ya kidigitali hasa kuibuka kwa mitandao ya kijamii, kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dakika 47 ya Halima Mdee wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi

    Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
  4. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kua Uyaone: Msemo ambao hauwezi kupitwa na wakati Barani Afrika

    Na kalaga baho. Salaam! Leo wakuu naomba niwasilishe hoja makini ya waandishi wa masuala ha kijamii, Jamrozik. A na Noccela. S. Wakiyazungumza matatizo ya kijamii hasa tatizo la muundo unaotumika kuipanga Jamii (structural arrangement) na kukosekana kwa usawa (social inequality) katika Jamii...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je Biblia inajipinga yenyewe katika maandiko yake mfano Zaburi 109 inapingana na Mathayo 18:21?

    Zaburi 109:Hii ni zaburi ya Daudi inayojulikana kama "Zaburi ya Kulaani." Katika zaburi hii, Daudi anamlilia Mungu awaadhibu maadui zake kwa maneno makali na malalamiko mazito. Mfano, katika Zaburi 109:9, Daudi anaomba Mungu, "Watoto wake na wawe mayatima, na mke wake awe mjane." Mathayo...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dunia ipo wakati mmbaya ila itaharibika zaidi kama mrengo wa kushoto (Leftists) watakuwa na control kubwa katika jamii.

    Far Left/Progressive/Fanatics ni kundi la watu wabovu sana. Kwa nchi kama Marekani chama cha Democrat ni mfano wa watu wa mrengo wa kushoto. Watu hawa ndio wana harakati wa mambo machache yafuatayo: ■kufanya abortion iwe halali ■Kusambaza vitabu vya ushoga na utupu kwa wanafunzi wa primary...
  7. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kondo la Nyuma la uzazi kumtangulia mtoto wakati wa ujauzito

    Kondo la uzazi kumtangulia mtoto (Placenta previa) hutokea wakati wa ujauzito, kondo huongezeka ukubwa na kutanuka kadri mfuko wa uzazi unavyotanuka na kukua. Ni miongoni mwa hali za hatari kwa mama mjamzito ambapo kondo la nyuma hujipachika katika sehemu ya chini ya mfuko wa uzazi, kukua na...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM kutokana na kutopata boom kwa wakati

    Wanafunzi hasa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM mpaka sasa hawajapata stahiki ya fedha za kujikimu ijulikanayo kama "boom" mpaka sasa ilihali hali fedha hizo zilitakiwa kulipwa tangu tarehe 23 mwezi mei. Ukipitia account za SIPA za wanafunzi zinaongesha fedha ziliwekwa tangu mei 13 lakini...
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Afrika historia inatuadhibu na utandawazi unatudidimiza

    Binafsi Naona historia ya afrika imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha maafa hapa barani,hatupo active kwa changamoto za kihistoria kuna pandikizi kubwa la maisha ya ukoloni ambao ulijenga misingi ya kutudumaza kupitia elimu,dini na biashara,ni nani hajui kuwa utumwa wa leo ni matokeo ya jana...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Kukabiliana na China” kwaibuka tena wakati wa ziara ya Rais wa Kenya nchini Marekani

    "Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  13. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wakati wa Mabeyo (aliyekuwa Mkuu wa Majeshi) kutuomba radhi

    Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha? Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo? Je haoni huu ni wakati wake wa kutubu na kutuomba msamaha?
  15. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzuia Kichechefu wakati wa Ujauzito

    Je unaelewa nini kuhusu Kichechefu wakati wa ujauzito/ Morning sickness? Kichefuchu ni dalili ya kawaida ya ujauzito, hasa wakati wa kipindi cha kwanza cha mimba(miezi 3 ya mwanzo). Hali hii inaweza kukufanya uhisi kuchefuka au kuwa na kizunguzungu na kukuacha bila hamu ya kula. Ingawa ni...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikiwa kwenye vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, kwa nini ofisi za ardhi za mkoa ziliendelea kutoa hati kwa matapeli wa ardhi?

    Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa...
  17. covid 19

    JamiiForums Tanzania Jeuri ya nini na sote tupo chini ya jua, ubabe wa nini wakati na wewe pia umezaliwa kijana? Chunga sana

    Maisha ni safari, Heshima na upendo ni vitu muhimu katika safari hii ya maisha.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Umefika wakati Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

    Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue! Pia soma: Kwanini Jakaya...
Back
Top Bottom