wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Kuchambua Betting: Faida na Hatari Zilizofichika - Je, Ni Wakati wa Kubadilisha Mkakati?

    Betting imekuwa moja ya shughuli maarufu nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa inaweza kutoa fursa za kiuchumi, ina changamoto zake nyingi. Makala hii itachunguza faida na hasara za betting, kutoa mifano halisi ya maisha, na kutoa mapendekezo ya nini kinachopaswa kufanyika ili...
  2. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

    Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne 1.Mishahara haikupanda 2.Watu hawakuajiriwa 3.Madaraja hawakupandishwa 4.Mianya ya Upigaji ilizibwa Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi...
  4. mackj

    JamiiForums Tanzania Ulipuaji mabomu wakati wa mazoezi ya kijeshi unaofanywa na polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU manispaa ya Musoma udhibitiwe ni hatari kwa afya za w

    Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hili ni Shambulio la uharibifu wakati wa Amani!!

    Salaam, Shalom. Mara zote maishani, matatizo hufuatana, na Huwa hayatoi taarifa Wala kubisha hodi, Jana, wamepatikana mateka wanne waliotekwa miezi kadhaa iliyopita katika Shambulio na uvamizi wa ugaidi uliofanyika Israel October 2023. Binti mmoja aliyerekodiwa aliyekuwa kwenye tamasha Hilo...
  6. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  7. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umeme haujakatika

    Tuwe waadilifu wajameni, tuliolaumu sanaaaa, sasa tupongeze sanaaaa, Hongera Doto, hongera mama, hongera Tanesco Kanyaga twende
  8. mkalamo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  9. je parle

    JamiiForums Tanzania Kulikoni viazi bei iko juu sana 170,000 au ndio uchumi wa kati!

    Habar ndugu zangu Jamiiforums Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei maradufu. Kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili. Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini gari za tesla ukifika makaburini zinaona kuna watu wakati hakuna watu?

    Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa wanapita,tambua mfumo wa gari za tesla una sensa kali. Mfumo wa tesla unaweza kuona magari na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania MO Dewji: Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu

    Huu ujumbe alioandika MO Dewji ukurasani X unawahusu Sana Wanachama wa Chadema na viongozi wao waliong'ang'ania madarakani. "Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa na Wakati wa kufa, Wakati wa kupanda na Wakati wa kung'oa yaliyopandwa" Muh...
  12. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

    Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji

    Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji 1. Kuungua Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa muda mrefu. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wameungua mikononi mwao kutokana na kutumia simu kwa muda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira ya Wakati Ujao Wenye Kustawi

    Tanzania iko kwenye kilele cha zama za mabadiliko. Ulimwengu unabadilika kwa kasi isiyo na kifani, na ili kuhakikisha taifa letu linastawi, ni lazima tukuze maono yenye mwelekeo wa siku za usoni kwa ajili ya elimu, kukuza uvumbuzi wa kisayansi, na kujenga uchumi imara. Dira hii, “Tanzania...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

    Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC Ruvuma asema Mtuhumiwa aliyejeruhiwa kwa risasi ya mguu wakati kitoroka amefariki Dunia

    Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini pgymies (mbilikimo) idadi yao inapungua na wakati hawatumii uzazi wa mpango?

    Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa? Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine. Ukienda Rwanda wanaitwa Twa, Wengine wapo cameroon Drc, zambia nk Au hanahujumiwa
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Suma Fyandomo Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati

    MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
  19. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuzorota na kutomalizika kwa wakati miundombinu wakati wa utekelezaji wa miradi

    Moja ya kitu Cha kujivunia ni kuzaliwa Katika nchi ya Tanzania, imejaliwa kuwa na vitu vingi vya kuvutia na kupendeza sana vilivyo tapakaa nchi nzima. Mfano wa vitu hivyo ni kama Mlima Kilimanjaro, Mlima meru, Mito mikubwa ikiwemo Malagarasi ,pangani ,Mapolomoko ya Rukwa, Hifadhi za wanyama...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano

    Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia wakati mgumu katika wakati huu wa mapinduzi ya kidigitali hasa kuibuka kwa mitandao ya kijamii, kama...
Back
Top Bottom