wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyo Mama anayemhoji Sativa anatia Mashaka. Kuna uwezekano mkubwa anajua kila kitu. Waliokuwepo wakati anahoji amtaji ili awasiidie Interpol

    Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza. Kitalaamu tunaita leading questions. Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari . Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi. Cc Jebra Kambole
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums huyu Achraf Hakimi tuliyemsajili anachukua nafasi ya nani? Tuna Hela ya Kumlipa wakati Madeni yanatuumbua?

    GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wafanyabiashara wakigoma, kwa nini wafanyakazi nao wasigomee mishahara midogo? Serikali haiongezi mishahara kwa kiburi.

    Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine. Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli? Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara. Wafanyabiashara wamegoma na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

    Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu. Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa...
  5. covid 19

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati hofu kubwa sana na changamoto nyingi maishani

    Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's. Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha: Kutokuwekeza mapema: Kutokujitunza kiafya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Mama ni wakati wako AMUA!

    Jambo moja kubwa na hakika ambalo ukiwauliza raia wa nchi nyingi za Afrika magharibi au tuseme global south kuwa wanajua nn kuhusu Tanzania kwanza watakwambia wanaRais mwanamke!Wanaweza kukwambia pia juu ya mt.Kilimanjaro,Serengeti,baba wa Taifa JK Nyerere,beautiful flag,wasanii kama Diamond na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wachina walalamika waafrika kuwaigiza kwenye mitandao ya jamii wakati wenyewe wakiigiza wanaitwa wabaguzi.

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Wachina kwenye mitandao yao ya kijamii wechat na weibo. Wamelalamika, kukasirika na kuja juu kuhusu wimbi kubwa la waafrika kuwaigiza lugha yao kwa vichekesho kwenye mitandao ya kijamii Tiktok, Instagram, Facebook na YouTube. Wamedai wao wachina wakiwaigiza...
  10. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuna hatari zaidi kwa Vyombo vya Habari kuliko wakati mwingine...

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga...
  11. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acha Unafiki ni Nguvu Kazi ipi unayoitetea hapa wakati walipokulilia na Kodi Kero na Kodi Komoa zako uliwajibu Kidharau wahame wakaishi Burundi?

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema jinamizi la ajali nchini limezidi kuwa kero huku kutofuata sheria akitaja mojawapo wa chanzo kikuu, huku akiwataka maofisa usalama barabarani kutoangalia namba za gari ni la Serikali au binafsi sheria itumike sawa kwa wote. “Madhara yake tunapoteza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  14. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zazindua Mwaka wa Utamaduni na Utalii wakati zikiadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia

    China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni na kiutalii na kuimarisha mawasiliano kati ya watu wa pande mbili katika sekta mbalimbali. Hivi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Migogoro mingi inayotokea maeneo ya kazi inatokana na wanandoa kutotimiza wajibu wao wa kupeana tendo la ndoa

    Nikiwaambia 'banduaneni' kila wakati kama nifanyavyo ili muwe na Furaha na Wachangamfu muda wote mnaniona Muhuni...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lema kutimkia CCM

    Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

    UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30) Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli waliotangulia na wataokuja. Tafuta mke ukiwa únajitafuta. Tafuta mwenza wako wa maisha úkiwa katika...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kuhalalisha matumizi ya bangi

    Bangi inafaida kuliko inavyozungumzwa na wala haina madhara kama inavyozungumzwa. Ndani ya bangi kuna kemikali moja nzuri sana ambayo inasaidia kuongeza hamu ya kula. Baada ya wataalamu kuona faida hiyo, wakaiga kemikali hiyo na kutengeneza dawa ya kusaidia kuongeza hamu ya kula. Dawa hiyo...
  19. Half american

    JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  20. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Dalili za Hatari wakati wa Ujauzito/Mimba

    Dalili za hatari wakati wa Ujauzito Wanawake wajawazito ni vizuri wakajua kuhusu viashiria vya hatari (matatizo wakati wa ujauzito) hii ni muhimu kwa kuhakikisha afya yao na afya ya mtoto/watoto wao. Hapa kuna mambo muhimu ya kufahamu: 1. Kifafa cha Mimba Dalili/ Ishara vyake - maumivu...
Back
Top Bottom