Mimi na washkaji zangu tuliugua homa ya tumbo wakati tuko Tabora

plus_ix

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
567
1,397
Habarini wana jamvii

Leo nimekumbuka hiki kisa tulichopitia na jamaa zangu miaka ya nyuma kidogo mkoani Tabora wenyewe wa kuita mboka manyema aisee ilikuwa hatari.

Tulieenda tabora kuna mishe tulieenda kufanya kwa kipindi kile tulikuwa watu wa tatu tulifika tabora salaam kabisa kwa kuwa tulikuwa tunajitafuta tukaamua tupange chumba kimoja wote wa tatu mtaa wa isevya ile nyumba ilikuwa na wapangaji wa tano ilikuwa ni zile nyumba za kolido ndefu alfu kila chumba kinajitegemea kiko single yani

Mishe zikaeendelea baada ya wiki kazaa tukaanza kuzoeana na wapangaji wengine kwenye ile nyumba wapangaji wa tatu walikuwa wa nawake ma single ila huyu chumba kingine ndo alikuwa ka oa sasa sisi pale geto tulikuwa na godoro tu na ndoo ya maji ya kunywa na ndoo ndogo ya kuogea kisela yani tunaeenda mishe tunapitia mgahawani tunakula tunarud geto kulala ivo ivo kuna jirani yetu mmoja mdada alikuwa anaitwa suzi huyu alikuwa mdada flani iv yan wale hawana noma kabisa anacheka na kila mtu sasa huyu mazoea ya kazidi kuna jamaa angu anaitwa john akawa ndo anashinda kwa huyu demu suzi tukitoka job yeye anapitiliza kwa suzi kula si tunakula mgahawani siku kusogea jamaa akanza kuamkia kwa suzi yani analala kwa suzi anazagamua tu suzi alikuwa mdada mwenye sura ya kawaida ila takoo lilikuepo balaa na rangi ya kinyamwezi alikuwa anafanya kazi saloon ya kike

Kuna siku tulitoka tukazurule kidogo tukaeenda mjin salmin kama sijakosea jina tumezurula sana madukani mdaa tunarudi tuko maeeneo ya tanesco tuka muona suzi anaingia kwenye gari Toyota tx sas sisi tukaanza kumcheka mshikaji tunamwambia mali za wakubwa hizi wew una tunukiwa tu kwa kuonewa huruma kufikia hapa umeamini amna kitu unaweza kumpa suzi inshort john alimwelewa sana suzi sijuh alikuwa anapewa nini na huyu mnyamwezi john akaona tunamzingua tu akaamua kutangulia geto mida ya saa 4 usiku tunaskia miungurumo ya gari mlango ukagongwa kufungua ni suzi ndo anarudishwa na chuma john uvumilivu ukamshinda akaeenda kumwakia suzi suzi nae anajibu si mnajua wadada wa saloon maneno yao akaanza kumchamba john pale na sad truth john akapaniki kamzibua pakawa apatoshi wakashikana mwilini sisi kuachanisha ndo kutulia palikiwa na kelele mle ndani wapangaji wote waliamkaa sasa suzi aka mwambia john unanipiga mimi unanijua nakuambieni mtaona sas mimi kumtuliza akanambiya ata wewe plus utaona simnajifanya wajuaji subirini

Zikapita wiki mbili ule ugomvi ushaisha tunaeendelea kam kawaida john na suzi wake mahusiano yalipungu sana kuna siku tuko job suzi akampigia simu john msipitie mgahawani nimepika chakula kingi na nyie kitawatosha anha! tukaona suzi katukomboa tukafurahi balaa tulikuwa tunatoka job saa 11 by saa 12 jion tunakuwa tushafika pale room lbd tukienda kuangalia game ndo tulikuwa tunachelewa kurudi bc tukapitia na soda take away dukani kufika pale suzi aka tugongea mlango akauliza niwalete huku chakula kwa bashasha tuletee suzi katuletea msosi pale kwenye sinia ilikuwa pilau na njegere kaweka na kachumbali msosi ulikuwa mtamu sana tulipeleka ule msosi tukamaliza tukarudisha vyombo kwa suzi kama baad ya saa moja iv matumbo ya lianza kunyonga nakumbuka nilianza mimi nikatoka kimya kimya nikaeenda chooni nikarudi geto na shangaa john analalmika oyaah tumbo tumbo nimekaa tu pembeni kimya na muangalia akaaga ngoja nieend chooni john yuko chooni huyu jamaa etu mwengine likachanhanya akatoka nduki chooni akanza kumgongea john oyah fasta fasta john katoka kaingia mshikaji apo ni usiki mida ya saa 3 jamaa katoka karudi room tukaanza kuchekana oyah leo tutajuta ghafla mimi limenishika nduki chooni nataka kutoka tu nashangaa mlango unavutwa kwa nguvu kufu ngua john uyu ap kinivutia njee kazama ndani naingia tu chumbani huyu jamaa mwengine anatoka speed direction ni chooni hili zoezi lilienda mbaka saa sita usiku hivi baada ya kuramba majivu yalipunguza ile kasi ya kuharisha uzuri ile nyumba choo kilikuwa na bomba maji yalikuepo mdaa wote ndo kilicho tuokoa tunaamka asubuhi tunashangaa majirani wanatucheka kumbe walikuwa wanatuona tunavyoteseka maan choo kilikuwa njee yan uwani tuliona aibu sana hii siku hatukwenda at job kuogopa mambo yanaweza jirudia tuka kaa ndani huku tunachekana kwa ile hali ya jana tukasema hapa suzi kunakitu katuwekea sio kawaida hii tukakaa kumsubili suzi arudi maana aliwai sana kuondoka wakati alikuwa anatokaga midaa ya saa 3 asubuhi .....
 
Ok
 
Back
Top Bottom