wajuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona polo wengi? Wajuzi wa mambo nielewesheni

    Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana Wanaruka ruka then wakaishia juu ya mti ambapo mimi nipo wametulia aisee! Sasa nauliza kuna ishara yoyote...
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nina swali wajuzi wa mambo

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Au kati ya Wanyamwezi pamoja na Wasukuma na zanzibar? Maana Zanzibar kuna idadi kubwa ya Wanyamwezi pamoja Wasukuma kila mahali.
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi na wajuvi wa Kiswahili, nini Kiswahili cha haya maneno?

    1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule. Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa? President - rais. Elect-chagua/ chaguliwa. Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake? 2. Nini Kiswahili cha haya maneno...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wajuzi mtueleweshe, Tofauti na mategemeo yetu ni kwanini wanywaji wa pombe bado wanafanikiwa

    Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi. Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k. Ukienda pale kariakoo jamii...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  6. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa tafsiri za ndoto tuonane hapa

    Habari ndugu zangu Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili? Asante.
  7. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

    Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000. Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
  8. Bongo senior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa wajuzi

    Habarini za weekend hope mko poa na pole kwa wenye changamoto mbalimbali. My point kwa wenye uelewa je kuna namna naweza kuzuia namba moja itakaponipigia apate taarifa kuwa sipatikani kwa muda huo ilihali nipo hewani a part from call forwarding au call barring au kumblock mana hii uwa inampa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi, dirisha la vyuo vya afya limefunguliwa? Na anaweza akapata huyu?

    Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B. Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

    Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
  11. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa Diplomasia, naomba msaada kwenye hili

    Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state visit huko USA! === 1. Kenyan President William Ruto will become the first African leader in more...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

    Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
  13. sinaham

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mimi si mshabiki wa mno Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya. Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano. Ni kama hizo. H Kwa mfano Bailey ammkomalia...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa location, Huu ni mtaa wa wapi?

  15. Mama Edina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ujuzi Jinsi ya kumlea mwanangu wa kike

    Kama somo linavyojibabadua Masahihisho Naomba kujua namna bora kumlea mwanangu
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma akipata uhamisho wa muda anastahili kulipwa nini!?

    Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  18. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiweka njia panda

    Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

    1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima). 4. Kupotea njia...n.k Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
Back
Top Bottom