Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

Korosho zipo zinapatikana jumla na reja reja bei ni moja, tupo Mbagala Rangi Tatu;
1) Korosho ghafi za maganda kilo Tsh. 3,000
2) Korosho nyeupe kilo Tsh. 14,000
3) Korosho za brown zilizookwa kilo Tsh. 15,0000
Korosho zinatoka Tandahimba Mtwara
Kwa mawasiliano +255 615 958 270
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?

Tax itakuwa bei gani?

Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.

Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
 
Kama hujui zinapopatikana umepokea kazi ya nini?
Korosho zipo zinapatikana jumla na reja reja bei ni moja, tupo Mbagala Rangi Tatu;
1) Korosho ghafi za maganda kilo Tsh. 3,000
2) Korosho nyeupe kilo Tsh. 14,000
3) Korosho za brown zilizookwa kilo Tsh. 15,0000
Korosho zinatoka Tandahimba Mtwara
Kwa mawasiliano +255 615 958 270P
Nimekupata
 
India ni ya pili baada ya Ivory Coast kwa zao la Korosho duniani
Halafu unasema umepata dili la kilo 500 narudia kilo 500 yaani hizo kilo ni gunia 5 tu eti upeleke India

Aidha wewe ndio unatafuta kupiga mtu humu au wewe ndio unapigwa maana hakuna biashara ya kilo 500 kupeleka nje ya nchi tena nchi inayouza duniani

Kama ni tons of Cashews sawa ila hapo sidhani kama uko serious
 
Anapeleka kwa meli
 
Back
Top Bottom