Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

sinaham

Member
Mar 31, 2024
76
87
Mimi si mshabiki wa mno

Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya.

Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano.
Screenshot_20240427_194128_Chrome.jpg

Ni kama hizo. HKwa mfano Bailey ammkomalia man united ila je ni lazima ashuke?
 
Hizi tatu zmepanda na zitashuka.
Nahisi sio kweli kuwa zitashuka. Wewe ungekuwa kocha wa Tim inayoshuka dakika hizi ungefanyeje.

Maana kuna game za kufa na kuponam mfano Bailey akipambana live or die atapita......?

Huyu jamaa anaitwa Vincent kompany ni man City mfia derby
 
Nahisi sio kweli kuwa zitashuka. Wewe ungekuwa kocha wa Tim inayoshuka dakika hizi ungefanyeje.

Maana kuna game za kufa na kuponam mfano Bailey akipambana live or die atapita?
Hawa watashuka hakuna namna.
 
Mbona hueleweki?

Kwa kiufupi zinazoshuka ni timu tatu kutoka chini

18.
19.
20.

Hapo hatuangalii umaarufu wa kocha au wa timu

Vuna point nyingi uwezavyo haijalishi umecheza vizuri au vibaya

Ila kwa historia ya Epl timu ikifikisha points 40 haishuki daraja/ safe points

Sasa wewe unasema company mpambanaji amepambana nini mbona yupo chini?
 
Mfia timu
 
Neno utafiti limetumika vibaya na mtafiti😜
 
Back
Top Bottom