wajuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

    Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo; - Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi. - Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
  2. IBRA wa PILI

    Wajuzi wa Mambo tujuzane hii

    Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 Alafu Nika nunua tena flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya (adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0 Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya...
  3. enzo1988

    Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

    Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania! Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa! Hatari sana hii!
  4. kitonsa

    Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  5. D

    Muliro kuongezewa muda kazini baada ya kustaafu akitenda kosa atashtakiwa kama raia au askari?

    Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili. Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
  6. M

    Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Nimekuja na hii maada ili watu wapate kujua historia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu, inchi walizozaliwa na walikuwa wangapi, Hapa tunazungumzia Mitume wa Mwenyezi Mungu, siyo wanafunzi wa mitume,Mtume ni yule aliyechaguliwa na Mungu peke, ambaye hata riziki yake anayokula hutoka kwa Mungu...
  7. W

    Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

    Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi. Ina maana gani kuwa vidogo vile?
  8. Mwachiluwi

    Ushauri: Eneo gani kwa Dar linafaa kwa biashara ya car wash?

    Hello 👋 Natarajia kupata pesa kiasi, fulani sasa nilikuwa natamani kufungua biashara ya car wash. Napenda nijue ni eneo gani kwa Dar litafaa kwa car wash, na je, eneo hilo linakodishwa bei gani kwa mwezi? Pia vijana wa car wash wanalipwa bei gani kwa mwezi? Na vifaa vitanigharimu bei gani au...
  9. Poppy Hatonn

    Swali kwa wajuzi wa Kiswahili:"executioner" inatafsiriwa vipi Kiswahili.

    Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili? Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
  10. M

    Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  11. marehem x

    Kwa wajuzi wa majeshi na vita. Menes Tarimo alikuwepo kwenye sanduku??

    Ni msiba wa yule jamaa aliyepigana vita nchini Ukraine. Hiv atakuwepo kweli au
  12. Expensive life

    Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

    Ndugu zangu kabla sijaowa nimekuwa kimahusiano na baadhi ya wanawake wa makabila tofauti tofauti japo siyo yote. Ila haya makabila yanayosifika kuwa mwanaume akiingia hatoki, kwa maana wanajua sana mavituzi nimeruka nao kiasi ila sikuwahi kuona maajabu yao. Nimepita na wamakonde kama watatu...
  13. Expensive life

    Huu mlango wa Emergency wa ndege unaozungumzwa ndio upi wajuzi naomba mnijuze

    Kumekuwa na sinto fahamu mitandaoni kila mmoja akiongea lake ikiwemo manusura wa ajali ya ndege iliyotokea mkoani Kagera. Ni kweli ukisikikiza maoni ya watu kwa makini unaona kuna hoja hapa ya kujadili, je mlango wa Emergency wa ndege ni upi hapa, muokoaji alitumia dhana gani kuufungua? Au...
  14. Tunzo

    Wajuzi naomba utofauti wa hizi tv wanaita smart 4K na hizi smart za kawaida

    Hasa kwa upande wa Hisense tv, nana bei ya 4k ni tofaut na bei ya smart ya kawaida, nini cha ziada?
  15. matunduizi

    Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  16. N

    Wajuzi naomba mnitoe ushamba, hivi star wa movie za mapigano anapatikanaje?

    Zamani nilifikiri inatokana na uwezo wa kupigana wa mtu, hivyo niliamini Jack chan, Jet Li, Jack Bauer na wengine ni mafundi haswaa wa kupigana kuzidi wanaocheza nao. Lakini najiuliza ina maana ni kweli kwamba wale wengine wote hawajui kuwazidi? Nikiangalia picha nyingi za mapigano ni nakshi za...
  17. Natafuta Ajira

    Wajuzi wa masuala ya ujenzi naombeni ushauri wenu

    Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...
  18. N

    Ganzi nyayoni inasababishwa na nini? Na nini tiba yake?

    Habarini za jioni Wana JF. Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu. Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini tiba yake? Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
  19. Cactus_assa

    Je, naweza pata STI's baada ya kufanya oral sex kwa sekunde 15?

    Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi. Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo...
  20. To yeye

    Hii ni kwa wanaume wajuzi wa mambo

    Habari zenu? Swali kwamba utajuaje kama mpenzi wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika. Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli imemkolea au hapa anaigiza hana lolote. Tuambieni ili tuwe tunakuja na mbinu zote 🤣😉
Back
Top Bottom