Kwa wajuzi wa weledi na maadili ya Uandishi wa Habari, je Al Jazeera ni Chambo cha Habari cha Kimataifa kinachokidhi vigezo?

Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine

View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs

Kuna kitu kimoja ni muhimu kukiweka akilini linapokuja suala la vyombo vya habari. Ni kwamba hakuna chombo cha habari kilicho huru, vyote vina upande inaoutumikia.

Si unaona media kama Mwananchi unaweza ukadhani iko huru, lakini nenda pale ukawape habari nzuri ya kuwatwanga jamii ya Agha Khan au taasisi zake, hawataitoa.

Wapelekee habari ya kumtandika Rostam, kamwe hawataitoa hata kama iwe ya mauzo kiasi gani. Hii ni kwa sababu ambaye anamlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.

Iko hivyo hata kwa waandishi wa habari pia.

Ova
 
Hizi ni kampeni za kipuuzi tu kuichafua aljazeera, kwenye mzozo pale Gaza aljazeera walikuwa hawana ujinga kuficha matukio, Israel imeipiga aljazeera marufuku ku report kutoka Gaza kisa wana report habari kamili inayoendelea huku bbc, cnn, fox n.k wakificha mambo mengi.
 
Kwa mfano umeshawahi kuona habari jinsi zinavyoripotiwa kwenye vyombo vya Magharibi kama CNN na BBC inapohusu mataifa kama China na Urusi?

Kwa kifupi vyombo vyote vya habari duniani ukiacha kutoa taarifa viko kwa ajili ya kueneza propaganda

CNN wenyewe ni wanafiki wanamsupport Biden na kumponda Trump hilo lilionekana wakati wa uchaguzi uliopita
 
Soma historia ya Al Jazeera, kuna nchi kama China Al Jazeera walifukuzwa na haipo. Pamoja na kuwa chombo kikubwa cha habari ila kuna ukweli kwamba ni chombo kwa ajili ya waarabu na Uislamu kama ambavyo BBC vyombo vya magharibi vilivyo kwa ajili ya wamagharibi.
Kama wewe ni muislam au mwarabu basi Al Jazeera ni kwa ajili yako, kama wewe siyo muislamu na mwarabu basi Al Jazeera si kwa ajili yako bora usikilize Clouds na uangalie TBC.
China na Israel ni sawa,china walikua wakibomoa misikiti,kuwalisha waislam nguruwe kwa lazina Ramadan,kuwahasi waislam na kuwaweka camp,ukiwa kiongozi china utaacha kuifukuza!?..Al Jazeera tkriban kila mwaka ndiyo channel Bora kwa documentary,kitu ambacho Al Jazeera watakua bias ni kuwa dhidi ya serikali ya Qatar
 
Soma historia ya Al Jazeera, kuna nchi kama China Al Jazeera walifukuzwa na haipo. Pamoja na kuwa chombo kikubwa cha habari ila kuna ukweli kwamba ni chombo kwa ajili ya waarabu na Uislamu kama ambavyo BBC vyombo vya magharibi vilivyo kwa ajili ya wamagharibi.
Kama wewe ni muislam au mwarabu basi Al Jazeera ni kwa ajili yako, kama wewe siyo muislamu na mwarabu basi Al Jazeera si kwa ajili yako bora usikilize Clouds na uangalie TBC.
Aljazeera wana mjukuu wao hapa Tanganyika Azam Tv.
 
Kuna kitu kimoja ni muhimu kukiweka akilini linapokuja suala la vyombo vya habari. Ni kwamba hakuna chombo cha habari kilicho huru, vyote vina upande inaoutumikia.

Si unaona media kama Mwananchi unaweza ukadhani iko huru, lakini nenda pale ukawape habari nzuri ya kuwatwanga jamii ya Agha Khan au taasisi zake, hawataitoa.

Wapelekee habari ya kumtandika Rostam, kamwe hawataitoa hata kama iwe ya mauzo kiasi gani. Hii ni kwa sababu ambaye anamlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.

Iko hivyo hata kwa waandishi wa habari pia.

Ova
Huu ndio uhalisia dunia nzima kwenye ulimwengu wa habari
 
Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine

View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs

kama mkiristo mwenye chuki na uislam na waislam utasema hakifai. Kama myahudi utasema kifutwe. lkn mwenye akili zilitulia na mpigania haki utasema kinafaa tena top 10. sasa sijui wewe upo kundi gani
 
Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine

View: https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs

Ukweli ni kwamba hakuna chombo cha habari ambacho kipo huru kwasababu ya sera ya chombo husika

Vyombo vyote vimechagua upande mkuu na vinatumika kwa propaganda
Ukitaka kuujua ubaya wa HAMAS na uzuri wa Israel basi sikiliza BBC CNN nk
Ukitaka kuujua ubaya wa Israel na uzuri wa Hamas basi sikiliza Al jazeera
 
Hizi ni kampeni za kipuuzi tu kuichafua aljazeera, kwenye mzozo pale Gaza aljazeera walikuwa hawana ujinga kuficha matukio, Israel imeipiga aljazeera marufuku ku report kutoka Gaza kisa wana report habari kamili inayoendelea huku bbc, cnn, fox n.k wakificha mambo mengi.
Habari ipi ya ukweli Aljazeera wameshawahi kureport? Walisema Hospital imelipuliwa na watu 800 wamekufa ukweli ni Islamic jihad ndio walilipua na ilikuwa parking hamna ushahidi hata mtu mmoja aliyekufa na Aljazeera hawajawahi kanusha wamebeba roho za uongo kwenye mafile yao..

Naomba news moja ya ukweli ya aljazeera plz
 
Back
Top Bottom