wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mributz

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  3. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  6. John Sin

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  8. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha somo kinavosema.... Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA. Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 DP World ilipigwa Marufuku Nchini Somalia na Mkataba wake kuitwa Batili na Usiotekelezeka

    Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
  10. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini iliitwa Mirembe? 70% ya wagonjwa wanatokea Dodoma

    Hospitali kubwa ya wagonjwa wenye changamoyo ya akili iliyopo mjini Dodoma inaitwa Mirembe. Mkurugenzi wake amesema iliitwa Mirembe kutokana na miongoni mwa wagonjwa wake wa kwanza aliiitwa Mirembe, alienda Dodoma mwaka 1927 akitokea kanda ya ziwa kumfata mganga maarufu wa wakati huo aliyekuwa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuna Coincidence na Coincidence 'coincidencesisha?' Watch this, is this just a coincidence or ime-'coincidencesishwa'?

    Wanabodi Anzia hapa Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili. Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

    Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo. Gharama za kugandisha Kichwa...
  14. Programu za PC

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
  17. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Andiko hili lamfaa kila mtu. Lugha iliyotumika ni laini. Sio Kali kama nilivyozoea Kwa mada zangu nyingi. Kisayansi Miti ni moja ya viumbe hai muhimu katika Ecosystem (kutegemeana Kwa viumbe hai n mfu ili kufanya Maisha yaendelee katika...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Barua ya kujiuzulu kwa Papa Francis iko tayari tangu mwaka 2013?

    Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani. Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
Back
Top Bottom