wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Je, wajua uhakiki wa taarifa huchochea uwajibikaji?

    Uhakiki wa Taarifa hudumisha uwazi, kujenga imani kwa jamii, kukomesha upotoshaji pia kuwepo kwa taarifa sahihi katika jamii itaifanya jamii iweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo sahihi. Kuchochea uwajibikaji- Uhakiki wa taarifa utachochea makundi mengi kuwajibika kwani watakosa fursa ya...
  2. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Je! Wajua kuwa Palestina haijapata uhuru mpaka leo?

    Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado Palestina haijapata uhuru mpaka leo. League of Nations ilipitisha Azimio la kuiweka Palestina toka...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Je wajua? 60% ya High-Speed train duniani zipo China

    BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE. Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train. High-Speed Train ni nini? Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

    Uzee ni nini? Na unasababishwa na nini?
  5. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

    Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  7. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  9. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  10. Mributz

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  12. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  15. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  17. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha somo kinavosema.... Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA. Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 DP World ilipigwa Marufuku Nchini Somalia na Mkataba wake kuitwa Batili na Usiotekelezeka

    Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini iliitwa Mirembe? 70% ya wagonjwa wanatokea Dodoma

    Hospitali kubwa ya wagonjwa wenye changamoyo ya akili iliyopo mjini Dodoma inaitwa Mirembe. Mkurugenzi wake amesema iliitwa Mirembe kutokana na miongoni mwa wagonjwa wake wa kwanza aliiitwa Mirembe, alienda Dodoma mwaka 1927 akitokea kanda ya ziwa kumfata mganga maarufu wa wakati huo aliyekuwa...
Back
Top Bottom