Je, wajua kuna Coincidence na Coincidence 'coincidencesisha?' Watch this, is this just a coincidence or ime-'coincidencesishwa'?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,599
Wanabodi
Anzia hapa
Tarehe kama hii yani 08/04/1960s alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala.

Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili.

Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

Hivyo leo ni
Happy Birthday to Pasco Mayalla Snr
Happy Birthday to Pasco Mayalla Jnr ambapo wengi mtadhani ni just a coincidence tuu!. Jana tarehe 7 April, ilikuwa birthday ya binti yangu Magdalena na soon inafuatia birthday ya my Son Mark mwezi huu huu wa April. Hivyo hizi coincidences kama zimekuwa too much, na kunipelekea kuanza kufanya research ya coincidences kama zote ni just coincidence nyingine ni coincidence za ku coincidencesisha?

Kuna kitu kiitwacho coincidence na coincidences nyingine ni just an amazing coincidence. Je wajua kuna coincidences za aina mbili?. Coincidence ya kwanza ni ile coincidence ya just a coincidence na coincidence ya aina ya pili ni coincidence ya kui coincidencesisha?.

Kuna watu wanaamini coincidence inajitokea tuu yenyewe, as it's just a coincidence, imetokea tuu, lakini naomba niwahakikishie sio kila coincidence inajitokea tuu yenyewe, some coincidences, ni mtu unaweza kuzi coincidencesisha kwa kutumia will power through manifestation kwa kutumia kauli umba!.

Kauli umba ni kuitumia wish au kauli kukuumbia jambo lako lolote na hizi hoja za coincidence zinawezeshwa na mahasabu ya probability ya kitu kinachoitwa yumkini ya kuyumkinika.

Mimi ni mtu wa kauli umba, yaani kuna vitu una vi wish halafu vinatokea. Unawe kutembelea uzi huu ukaangalia baadhi ya kauli umba zangu "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

NB. Sio lazima kila utakachokiumba kwa kauli umba ni lazima kitokee, kauli umba nyingine huwa zina goma!. Mfano ile 2014 nilitoa kauli umba hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Halafu 2015 nikabadili mawazo na kutoa kauli umba hii Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!. ile kauli umba ya 2014 ndio ilitiki, ile ya 2015 iligoma!.

Nguvu hizi na uwezo wa kusema kitu na kikatokea ni kila mtu anao, ila kuna wengi hawajitambui kuwa wanazo nguvu hizi Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Saa jee hii Birthday ya Baba ku coinside na Birthday ya last born is is just a coincidence, an amazing coincidence or just a coincidence ya ku coincidencesisha?.

Happy Birthday kwa kila Pasco, Paskali, Pascal, Paschal, Pascoe, Pasquale, Paskalina, Paskazia na Ester waliozaliwa siku ya Pasaka.

Kila unaposheherekea sikukuu ya Pasaka ujue pia unasheherekea Happy Birthday ya kina Paskali!.

Happy Birthday me
Happy Birthday PiiJei (Pasco Jnr)
Nawatakia Pasaka Njema.

Pasakali
Baadhi ya Salaam za pongezi
Leo ni birthday ya ndugu na si rafiki. Pascal Mayalla. Pascal ndiye mwamba pekee aliyemuuliza Marehemu Rais Magufuli bila kumuogopa swali ambalo ni 1millioni dollar question.
Bila woga na kwa ushujaa wa hali ya juu alimuuliza “Mh Rais umepata wapi nguvu ya kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume na katiba ambayo inaruhusu, hiyo ruhusa umeipata wapi?”

JPM alishindwa kujibu zaidi ya kumwambia jina Mayalla kwetu maana yake ni njaa.

Moonlight inamtakia kila la kheri, umri mrefu na afya tele mwamba Huyu wa habari hapa nchini. Happy birthday Pascal
Kutoka kwa Abubakar Liongo
Moonlight Media
 
Hizi ni salaam kutoka kwa Abubakar Liongo
Moonlight Media
P
 
Hongera sana Pascal Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha: pia Mungu amkuze mwanao alelewe katika kumjua na kumtumikia Mungu
 
Hivi huyu jamaa kwenye profile ndio pasco? Ndio yule jamaa wa mambo ya sabasaba kwenye tv anazunguruka kwenye mabanda ya biashara?

Apart na msimu wa sabasaba anajishughulisha na nini kingine? Dah huyu jamaa anaonekana anapenda mademu sana....

Sometimes simuelewagi....dizain kama LBTQ, ... Au na yeye pia ni mkazi wa SINZA?
 
ni yeye
 
Kwanza ni mwandishi nguli wa habari, pia ni wakili msomi, anahiyo kampuni unayoona hua inapata tenda kwenye sabasaba, ana watoto wakubwa , ni mtoto wa wastaafu wa idara nyeti lakini pia alipata mafunzo ya jeshi la kujenga taifa, kabila ni msukuma aliezaliwa dar,
 
Anha..kumbe! Kwahiyo jamaa na yeye ni TISS au sio?
 
Leo ni birthday ya ndugu na si rafiki. Pascal Mayalla. Pascal ndiye mwamba pekee aliyemuuliza Marehemu Rais Magufuli bila kumuogopa swali ambalo ni 1millioni dollar question.
Bila woga na kwa ushujaa wa hali ya juu alimuuliza “Mh Rais umepata wapi nguvu ya kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume na katiba ambayo inaruhusu, hiyo ruhusa umeipata wapi?”

JPM alishindwa kujibu zaidi ya kumwambia jina Mayalla kwetu maana yake ni njaa.

Moonlight inamtakia kila la kheri, umri mrefu na afya tele mwamba Huyu wa habari hapa nchini. Happy birthday Pascal
Hizi ni salaam kutoka kwa Abubakar Liongo
Moonlight Media
P
Happy B’Day Bro!
Mungu akujalie uzima tele
 
Back
Top Bottom