Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
27CRYONICS3-articleLarge.jpg
Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo.

Gharama za kugandisha Kichwa pekee kwenye Jokofu lenye Baridi inayofikia Nyuzijoto −196 °C au −320.8 °F ni Tsh. Milioni 187.2. Hadi sasa kampuni za 3 za #CryonicsInstitute, #Alcor na #KrioRus zimetunza miili zaidi ya 500 huku zikipokea oda za Wateja 1,845 wanaosubiri Kufa ili wahifadhiwe.

Vipi Mdau, uko tayari kutumia Teknolojia hii kama itafika eneo ulipo?

merlin_189796050_1356e1cc-4dcb-48cd-b397-c4dd5762fc2b-articleLarge.jpg
================
The Cost of Maybe, Possibly Living a Bit Longer

More than 50 years after the first cryopreservations, there are now about 500 people stored in vats around the world, the great majority of them in the United States.

The Cryonics Institute, for instance, holds 206 bodies while Alcor has 182 bodies or neuros of people aged 2 to 101. KrioRus has 80, and there are a handful of others held by smaller operations.

The Chinese performed their first cryopreservation in 2017, and Yinfeng’s storage vats hold only a dozen clients. But Aaron Drake, the clinical director of the company, who moved to China after seven years as head of Alcor’s medical response team, noted that it took Alcor more than three times as long to reach that number of preserved bodies.

Yinfeng has priced itself at the top of the market alongside Alcor, which charges $200,000 to handle a whole body and $80,000 for a neuro.

Alcor has the largest number of people who have committed to paying its fees: 1,385, from 34 countries. (Fees are often funded with life insurance policies.) The Chinese have about 60 customers who have committed, while KrioRus said it has recruited 400 customers from 20 countries.

CRYONICS/NEWYORKTIMES
 
Yan mtu agande asubiri kifo ndio afufuliwe aanze kuishi tena!
 
Huu ni utapeli tu kama utapeli mwingine…Teknolojia ya cryogenic bado iko mbali sana kuwezekanika,hayo makampuni yanaoffer false hope
 
.. Iko ile pia ambayo Mgonjwa wa cancer anaona hana matumaini ya kuishi.. Anagandishwa incase in future tiba ukipatikana anarudishwa
 
Back
Top Bottom