wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenda zake

    JamiiForums Tanzania Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (Ukoloni Mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForum , Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba Adam alimuoa binti yake wa kumzaa mwenyewe?

    Ndio Maana wamama wenye watoto wa kike binti akisha vunja ungo wanakuwa wakali Sana kuhakikisha hakuna mazoea yaliyo pitiliza kati ya binti na baba ake. Na kama una binti halafu ukaoa mwanamke mwingine ambae si mama mzazi wa binti huyo basi automatically mkeo huyo atakuwa Ana mtreat binti yako...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Japan watu huajiriwa ili kuwasukuma watu kwenye treni?

    Kazi hii inapatikana nchini Japan kutokana umati unaokwenda kazini nyakati za asubuhi kwa kutumia usafiri wa treni. Japan ni taifa linalochapa kazi, na huhakikisha kila mtu anafika kazini kwa wakati unaotakiwa. Kutokana na wingi wa watu, Japan imewaajiri watu wenye taaluma ya kuwasukuma watu...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kubeba mikoba ni hatari kwa afya?

    Umewahi kujiuliza huwa unaweka mahali gani mkoba wako na je, kuna usalama wa kutosha kwa afya yako? Kawaida watu wengi huweka mikoba juu ya meza, viti, madawati ya baa, hotelini, vibaraza vya vyooni, wanachoangalia ni mahali pasafi. Wataalamu wa afya kutoka taasisi ya kisayansi ya Advanced...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa mtu mwenye hali ya chini ya chini ataathirika zaidi na tozo za miamala kuliko mwenye hela? Tazama Asilimia!

    Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!) Kwanini?: Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki. Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:- - Mumewe kuwa waziri wa fedha. - Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali -...
  7. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
Back
Top Bottom