wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Je wajua mwanamke hana dini??

    Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea Kama msilamu utajua anapoelewa
  3. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kua Bibilia ndio kitabu kinachoongoza kwa maandiko ya ukatili?

    Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali. moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kwanini Bara zinaitwa Shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli?

    Wanabodi Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli. Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua kwanini bara zinaitwa shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli. Kupitia live Mubashara ya TBC kwenye...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba: Je Wajua Kila Kura Iliyomchagua JPM Pia Ilimchagua Samia?. Is it Right Kusema Rais Samia Hakuchaguliwa?, Basi 2025 Tumchague?.

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa hushuka na kwa maslahi ya taifa ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu kuijua katiba yetu. Je wajua kuwa kila kura Iliyomchagua Rais Magufuli kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2020, pia Ilimchagua Samia?. It's not right kusema Rais...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je wajua hili kuhusu uume wa nyau..?

    Unajua kwanini (nyau) Paka wakijamiiana nyau wa kike hulalamika sana? Sababu ni hii ... Paka dume uume wake unakama miiba milaini ambayo mwanzo huukuna uke wa paka jike na kuleta raha sana , lakini kadiri anavyo endelea na akikaribia kufika mshindo huwa inaanza kutoka kwenye ulaini na kuwa aina...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  11. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Je, wajua baada ya trillion kuna nini?

    Trillion ndio kiasi maarufu kinacho tamkwa sana katika mahesabu ya kawaida ya kifedha na namba. Leo tuangazie majina mengine ya fedha na namba ambayo sio maarufa sana tukiacha ile maarufu kabisa Billion iliyo zaa neno billionaire TEN TRILLION 10, 000 000 000 000 Ten quadrillion 10, 000 000 000...
  12. Jameson-journalist

    JamiiForums Tanzania Unajua athari na jinsi ya kujiepusha na matumizi ya Bangi?

    Chawa si nzito lakini husumbua, wahenga walikuwa na maana Matatizo madogo madogo yasipodhibitiwa tangu awali huweza kusumbua na kusababisha matatizo makubwa zaidi lakini pia kwa namna nyingine Hutumika kuwatahadharisha wale the wenye tabia ya kudharau matatizo madogo madogo kwani huweza...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wanaovaa vichupi hasa kwenye swimming pools zenye Bar Pembeni Tukiwaomba namba wajue Mshumaa umewaka

    Shalom, Kuna wanawake ama mademu wa ajabu sana kijitu kinavaa vichupi uchi uchi maeneo ambayo watu tunabwax kinakupa namba then kinajifanya sijui mbona mapema hivyo kuhusu sex dadake Yesu wewe nyokoa. Sema sh.ngapi pokea duduz kwenda u gentleman na vichupi hio kwioo, sema ngapi toa samosa...
  14. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

    Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k. Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua, kuzimu ni Mtu, na Mauti ni Mtu?

    Salaam, shalom, Tuendelee na MADA zamivu katika masuala yasiyoonekana Kwa macho. Usilolijua, sasa tunaishi wakati ambao MUHURI wa nne umekwisha Funguliwa, kuzimu imeruhusiwa kuja Duniani kuvuna Roho za wakaao duniani theluthi Moja, Unashangaa Bado watu wanaenda kwenye mabaa na kununua Malaya...
  16. LugaMika

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe)

    "Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe) kwa sababu huamini wanaweza kuilinda familia pamoja na kumlinda yeye mwenyewe." 😂 Angalieni msije ponza miili yenu
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua toilet paper na tissue zina matumizi tofauti?

    Toilet paper na tissue paper hata kama baadhi ya wakati hutengenezwa kwa maumbo sawa, hazifanani matumizi. Toilet paper imetengenezwa kuyeyuka haraka majini, hivyo kuifanya iwe salama kwa mabomba na mifumo ya maji taka. Toilet paper imetengenezwa kwa makusudi ya kujisafisha baada ya kutumia...
  19. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba "out" za Zanzibar ni rahisi kuliko Bara?

    Kwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia. Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza kitimoto. Na pia hakuna guest house. Sasa basi, wakati huko bara, asilimia kubwa ya appointments huwa...
Back
Top Bottom