wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

    Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kombe halisi la Dunia liliibwa na halijawahi kupatikana?

    Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London. Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha Wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi...
  3. Justdr

    JamiiForums Tanzania Je wajua unaweza kuambukizwa VVU/UKIMWI hata kama uliyefanya naye ngono zembe umempima na majibu yamekuja Negative?

    Habari za muda huu? Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

    Ushasikia mtu anasema 'niko fiti kalikiti'? Ni kosa la kimatamshi tu limetoka kwenye neno la kiingereza 'Physically Fit' Wakati unaendelea kushangaa nakuonesha maneno mengine ya kiingereza kwenye michezo. Unajua Marede, mtu akiwa tayari anasema Rede, neno la kiingereza 'Ready' Si unajua...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaandika kwenye simu za nokia ya tochi vitufe vinalia utafikiri panya anatafuna mahindi stoo!

    Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine. Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
  6. Gidamarirda

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

    Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande upi ili aweze kuepuka ajali?

    Tembea upande wa kulia wa barabara, ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo. Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Hello 👋👋, habari za mida. Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden. Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Benki Kuu ya Afrika Kusini inamilikiwa na watu binafsi? Ni miongoni mwa benki 8 zenye umiliki wa aina hiyo Duniani

    Kawaida Benki Kuu Duniani huwa zinamilikiwa na Serikali za nchi husika zikiratibu sera mbalimbali za kifedha ikiwemo kudhibiti kiwango cha fedha kinachoingia kwenye mzunguko na kuzisimamia benki binafsi zilizopo kwenye nchi husika. Benki kuu huwa zina nafasi ya kipekee kuimarisha uchumi wa nchi...
  10. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania kuna baadhi ya mikoa hutakiwi kuwa mpole ili ufanikiwe kimaisha?

    Je, wajua hapa Tanzania kuna baadhi ya mikoa ukiwa mstaarabu sana kutoboa kwako itakuwa ngumu sana au mwenendo mzima katika harakati zako za maisha katika utafutaji itakuwia ngumu sana. Bila kuwa mbabe na kuwa kauli za hovyo sehemu hizo utakimbia mwenyewe. Mfano Geita maeneo yote yaliyozungukwa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wajua nini kilichomfanya Harmonize kujiita "Robert"?

    JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"? Anaandika, Robert Heriel. Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

    Wanabodi, Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo Hii ni makala mwendelezo ilianzia hapa Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa ‘The Grio’ umetambua juhudi za Rais Samia Suluhu

    Mtandao maarufu wa habari nchini Marekani ujulikanao kama the Grio umetambua juhudi za Rais Samia Suluhu,katika kuiongoza vyema sekta ya utalii na uhifadhi nchini, hivyo kuifanya Tanzania kuwa kivutio cha kwanza cha utalii katika Bara la Afrika kwa mwaka 2022 ========= Direct flight from...
  14. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Siku nikifa au ukifa nani atawajulisha watu humu JF

    nimewaza na kujiuliza sana.... Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini... Au ndo mtaenda na CODE
  15. mgt software

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unajua kuwa wanaohujumu Kilimo ni hizi Benki za Biashara?

    Wana Jf Nimefanya sana harakati za kilimo chenye tija ili kuinua pato la taifa pamoja nami mwenyewe kupata fedha za kujikimu. Nilichokutana nacho ni kile buraha buraha za vijana wa benk wasio na ujuzi wowowte kuhusu kilimo. Katika kilimo kuna mazao ya muda mrefu kama michikichi, embe...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipofungua ‘Dance’ Msondo Ngoma

    Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze? Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha TANU. Bendi hizo ni NUTA Jazz, Msondo Ngoma ambao mpaka sasa bado wapo katika ulimwengu wa muziki...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua herufi Z inatumika kuunga mkono Urusi kuipiga Ukraine?

    Ikiwa baadhi ya maeneo baadhi ya watu wamekuwa wakiandamana kupinga #Urusi kuweka vikosi vyake na kuishambulia #Ukraine, baadhi ya watu wamebainika kuunga mkono vita hiyo kwa kutumia herufi ‘Z’ Herufi ‘Z’ imeonekana kwenye vifaru na magari ya Urusi huku maana kamili ya herufi hiyo ikiwa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuchepuka siyo kosa kisheria?

    Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa. Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni...
  19. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Je, wajua amani ya kweli na ya kudumu Ipo ndani yako mwenyewe?

    Amani ni chemichemi ya kila kitu Unaipataje? Na wapi na kwa nani na bei gani? #Jibu: Kataa Kuchukia, Kataa Machukizo ya chochote kile. Kupenda ni hiari ila kukataa kuchukia ni lazima kwa ajili ya amani ya maisha yako. Imani ni Ushindi Otesha Amani daima kataa chuki na machukizo. Jumapili...
Back
Top Bottom