Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,699
113,997
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
Screen Shot 2023-03-05 at 5.41.20 PM.png
Screen Shot 2023-03-05 at 5.41.43 PM.png
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za kuonyesha uwezo, watafanya makubwa kuliko hata wanaume na mfano hai ni Mwanamke huyu ambaye tayari ameisha onyesha uwezo kuliko mwanaume aliyemtangulia, na akipewa fursa ya kuendelea, ataonyesha uwezo kuliko wale wanaume wanne (put together) waliomtangulia!.

Mifano iko mingi, kuna wanawake wakati wakiwa na waume zao, waliishi maisha ya kawaida, lakini baada ya kufiwa na kubaki wajane, wakafungua nguvu za uwezo, sasa wanaishi maisha mazuri kuliko hata waume zao walipokuwepo.

Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile kazi ya uumbaji wa kiumbe kipya, japo hufanywa kwa ushirikiano wa jinsia mbili, lakini uumbikaji wa kiumbe kipya kinaumbikia ndani ya jinsia ya kike pekee, hivyo ni mwanamke pekee ndiye huweza kuumba na kuleta kiumbe duniani!, hivyo Mwanamke ana uwezo kuliko mwanaume!.

Na baada ya kiumbe mpya kuzaliwa, kazi ya ulezi wa mwanzo, ya kunyonyesha, hufanywa na wanawake tuu, na kupeleka wanawake kuwa ndio walezi bora wa familia, hivyo kazi zote za kulea watoto wadogo hufanywa na wanawake!.

Tena wanawake hawaishii kwenye ulezi wa watoto wadogo tuu, na familia, bali hulea hata yule 'mtoto mkubwa' wa familia ambaye anatambulika kama kichwa cha nyumba au nguzo ya familia kwa pale sebuleni tuu, kibarazani, kiambazani na mitaani, lakini chumbani, mtoto mkubwa naye pia analelewa tuu kama mtoto!.

Hivyo hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye mambo mengi tuu, hata katika uongozi. Tena ni ukweli usiofichika kuna baadhi ya kazi zinazohitaji miguvu, zinawafaa zaidi wanaume kuliko wanawake, ila kuna wanawake wana maumbile ya kike lakini wana nguvu kuliko wanaume na wanaweza kufanya kazi zote za kiume, na wakati huo huo, kuna wanaume wana maumbile ya kiume lakini ni walaini kupita hata wanawake!, hawawezi kufanya kazi za kiume!.

Sii wengi wanaojua kuwa baada ya uumbaji wa Mungu kuwaumba Adamu na Eva, au Adam na Hawa, mtu wa kwanza kabisa kufanya kazi ni Mwanamke, ile kazi ya kuchuma tunda, kulikofanywa na Eva au Hawa, akampelekea tunda Adamu na kumfundisha jinsi kula lile tunda ndipo Adamu akala na hii ndio kazi ya kwanza kabisa duniani ikiitwa the oldest professional.

Mwanamke ndie pekee anaweza kufanya kazi zote!, ila kuna kazi fulani fulani wanawake wanazifanya vizuri kuliko wanaume zikiwemo kazi za ndani, uhudumu, mapokezi, fashion shows, kudance kwenye clubs, wahudumu wa mabaa etc.

Kuna kazi mfumo dume umezipachika kuwa ni kazi za kike, zikiwemo upishi, ubunifu wa mavazi, ususi na kazi za kuremba wanawake, lakini imetokea ma Chef's wote wa hoteli kubwa kubwa ni wanaume!, wabunifu wakubwa wa mavazi ni wanaume, hata warembeshaji wakubwa na sasa wasusi ni wanaume!.

Nenda saloon za kike ushuhudie idadi ya wasusi wa Kikongomani, au pita pale Mwenge Jumamosi asubuhi ushuhidie jinsi morani wa Kimasai wanavyokula tenda za kuwasuka rasta dada zetu!.

Huu mfumo dume umepelelea baadhi ya nafasi kupewa majina ya kiume mfano Boss ni jina la kiume, boss akiwa ni Mwanamke anaitwa The Boss Lady, lakini mabosi wa kike wanapenda kuitwa Boss, na wafanyakazi wengi wana prefers Boss awe mwanaume na sio Mwanamke., maana boss akiwa ni Mwanamke, kuna watu wanakoma!.

Pia nafasi kama ya Chairman/Mwenyekiti, ni jina la kiume, akiwa mwanamke alipaswa kuitwa Chairwoman ila ikaonekana hainogi, hivyo Mwenyekiti akiwa mwanamke anaitwa Chairperson.

Hata cheo cha President na Amiri Jeshi Mkuu kilidhamiriwa kuwa ni cheo cha mwanaume, l mwanamke anaitwa Amirati, ila hata Amiri Jeshi Mkuu anapokuwa Mwanamke, hapendi kuitwa Amirati ana prefers kuendelea kuitwa hivyo hivyo Amiri ambalo ni jina la kiume au chairman badala ya Chairwoman or chairperson.

Makala ya leo ni kuhusu fupa fulani, ambapo ukimuondoa Baba wa Taifa aliyetuachia katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, marais wanaume wanne, waliofuatia, hilo fupa liliwashinda, maraisi Mwinyi, Mkapa, JK na JPM, walilishindwa fupa hili, lakini sasa tuna rais Mwanamke mmoja tuu, Samia Suluhu Hassan ameisha onyesha kila dalili anakwenda kulishinda hili fupa la katiba lililowashinda marais wanaume wanne, yeye ni Mwanamke mmoja tuu anaweza!

Hivyo wanawake wana uwezo kuliko wanaume kama wakipewa nafasi, na mimi naomba kuchukua fursa hii, kuwatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku ya wanawake Duniani hapo Machi 8.

Paskali
Rejea za Mwandishi kuhusu Siku ya Wanawake
 1. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
 2. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
 3. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
 4. Siku ya Wanawake Duniani: Tuwakumbuke Top Ten Wanawake Wakurugenzi Wakuu Wa Taasisi Kubwa
 5. Siku ya Wanawake Duniani: Who Are The Top Ten Richest Women In Tanzania?!
 6. Siku ya Wanawake Duniani: Top Tanzanians women Celebrities
 7. Siku ya Wanawake Duniani: Top Tanzanians Women On Top of International Jobs.
 8. Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!
 9. Kuelekea Usawa wa Kijinsia: Kumbe 50/50 Inawezekana!, Wanawake Hao wa 50/50 Wapo!. Hongera Sana Rais Samia Kwa Kuonyesha Njia! Je 2025 Tuwaonyeshe?
 10. Shule ya Mt. Kibo Yathibitisha Wanawake Wanaweza!, Hawahitaji Upendeleo Wala Viti Maalum!
 
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
View attachment 2538222View attachment 2538228Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za kuonyesha uwezo, watafanya makubwa kuliko hata wanaume na mfano hai ni Mwanamke huyu ambaye tayari ameisha onyesha uwezo kuliko mwanaume aliyemtangulia, na akipewa fursa ya kuendelea, ataonyesha uwezo kuliko wale wanaume wanne (put together) waliomtangulia!.

Kaka p uko Karne gani?

USSR
 
Rais Samia akiweza hilo fupa, ataacha alama itakayodumu vizazi na vizazi na atakuwa chachu ya wanawake vijana kuwa ndoto za kufanya makubwa zaidi.

Namuombe kwa Mungu aendelee kumjaza roho huyo wa kuleta mabadiriko chanya kea taifa letu.
 
Hakuna mwanamke mwenye uwezo kuliko mwanaume, akiweza kimoja Kuna kitakacho mtengua lakini mwanaume atasonga, yaani mwanaume ni mwanaume tu mwenye uwezo kwa vingi
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P.
 
Samia ameweza kuachieve vitu ambavyo ngosha mwenzangu alitumia nguvu kubwa sana Na hakufanikiwa.
Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.
Big up sana kwa huyu Mama!.
P
 
Wanawake wa wapi unaowaongelea brother Pascal Mayala?!
 
Back
Top Bottom