aron lissu
Member
- Mar 7, 2019
- 28
- 31
Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi.
Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo kutokana na aina ya bima, lakini jambo la lazima katika kucharge huko ni kiasi ambacho mwenye basi anatakiwa kulipa, ambapo huwa wanahesabu seat za basi.
Mfano kwa mabasi ya mkoani wanalipa elfu 30 per seat, hivyo basi abiria unakuwa upo secured na bima na pindi ajali ikitokea una haki ya kulipwa fidia.