Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,826
2,842
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!

ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu! Mzee huyu ndiye chimbuko la imani hizi, na ndiyo kitu wanachokubaliana wote.

IKO HIVI Mzee Abrahamu alichelewa Sana kupata mtoto! Mtoto wake wa kwanza alizaliwa kwa kijakazi (House girl) akaitwa ISHMAEL (ISMAIL) baba wa waarabu halisi. Mtoto wa pili (wa kwanza na pekee kwa mama yake) aliitwa ISAKA (isaac) chimbuko la wayahudi wa kweli unataka kujua wakristo walitokeaje? Endelea 😀

KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!

SASA PALESTINE NI NANI KAMA SIYO MWARABU? Kwenye Bible wana wa Israeli walivyofika nchi ya ahadi walipewa eneo la kutawala, na walizungukwa na mataifa mbalimbali wakiwemo WAFILISTI (philistines au PALESTINIAN) 😀Kuna wakati kwenye biblia historia inaonyesha Israel akipewa kichapo cha mbwa koko na wafilisti, Ushasikia habari za Daudi na Goliathi? Huyu mwamba (Goliath) alikuwa jemedari wa jeshi la Wafilisti 😀😀Ukijaribu kuwasuluhisha unaingilia ugomvi usioujua!

VITA YAO haijaanza Leo! Naam vita ya Palestine na Israel imekuwa ni ya muda mrefu Sana! Kwenye biblia miaka zaidi ya 2000 kabla ya Yesu vita hii ilikuwepo!

Kuna clip mzee wa upako Anthony Lusekelo kalieleza suala hilo kwa upana
 
Baadaye wanaume wa Gaza wakaona isiwe tabu akatumwa Spy kumpeleleza mwamba 😀😀😀Gaza people
Samsoni alikuwa anaingia Gaza na kutandaza miti kwa wanawake wakipalestina. Basi njemba za kipalestina zilikuwa zinamaindi sana.

Siku moja njemba kama miatatu wakipalestina walimzingira Samson kutaka kumuua. Samsoni alichofanya aliwakusanya na kuwatahiri kwanza kwa lazima kabla ya kuwaua kwa mkong'oto wa haja.
 
Samsoni alikuwa anaingia Gaza na kutandaza miti kwa wanawake wakipalestina. Basi njemba za kipalestina zilikuwa zinamaindi sana.

Siku moja njemba kama miatatu wakipalestina walimzingira Samson kutaka kumuua. Samsoni alichofanya aliwakusanya na kuwatahiri kwanza kwa lazima kabla ya kuwaua kwa mkong'oto wa haja.
samson alikuwa nani katika ukristo?
mkiambiwa biblia ni ngonjera mnakasirika

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote!...
Wapalestina sio Wafilisti huu uongo ushakua disproven lot of times sijui kwanini watu wanaendelea kuueneza, Wafilisti ni watu toka Ulaya na hata Test za Dna zinaprove hili. Walipigwa na Assyrian na kutolewa hilo eneo.
 
I stand to be corrected!Unamaanisha philistines Siyo Palestinian? Majina na ukanda yanafanana!!
 
KWANINI SAUDI ARABIA ANAIUNGA MKONO ISRAEL?? Kwa watu wengi wamekuwa wakishangaa ushirikiano wa Israeli na Saudi Arabia! Mwarabu huyu tofauti na wengine amekuwa akionyesha kuiunga mkono Israel na hii ni sababu ni ndugu wa damu! Hata mzee Ibrahimu alivyofariki alizikwa na wanawe wawili ISHMAEL na ISAKA!!
Ni yupi alinusurika kuchinjwa na baba yake
  1. Waislam wanasema ni Ismail
  2. Wakristo wanasema ni Isaka
  3. Sijui wayahudi wanasemaje
 
Ni yupi alinusurika kuchinjwa na baba yake
  1. Waislam wanasema ni Ismail
  2. Wakristo wanasema ni Isaka
  3. Sijui wayahudi wanasemaje
Wayahudi wameanza kabla ya Ukristo, ulioanza miaka 2000 tu iliyopita!
Aliyetaka kuchinjwa ni Isaka according to Jews
 
Mtume hakusoma sasa hiyo Koran aliandikaje kama sio waarabu wenye wivu wakatunga Uongo wao
HAKUJUA KUSOMA WALA KUANDIKA,lakini alikuwa na AKILI.
ALIWEZA kukariri kile alichoambiwa nz kukihifadhi.hayo pia ni maajabu ya Muhammad
 
Back
Top Bottom