wafanyabiashara wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  3. R-K-O

    Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
  4. Jbst

    Mgogoro wa Kariakoo unashinikizwa zaidi na wafanyabiashara wakubwa

    Nilichogundua kuhusu Kariakoo sio kila mfanyabiashara hapo anagoma. Wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha kontena bandarini ndo wanamiliki mastoo hapo Kariakoo na hawa ndo waasisi wa mgomo wenyewe kwasababu hawataki stoo zao zitambulike. Ukiwasikiliza wengi wanaogopa kufungua kwasababu...
  5. Shazili mnali

    Kwa matajiri na wafanyabiashara wakubwa na wadogo

    Karibu mkoa wa Lindi kata ya Yangamara kitongoji cha Kilidu. Wakati tupo mbioni kuelekea mavuno ya ufuta tunawakaribisha matajiri na wafanyabiashara kwa nia ya ununuzi wa ufuta. Fuata utaratibu wa Serikali ulioweka katika ununuzi huo ili kuepuka usumbufu. Moja ya biashara ambazo zinalipa...
Back
Top Bottom