Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,716
- 36,185
Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika.
Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha vijana namna ya kupata mtaji, kukuza biashara, namna ya kuajiri, namna ya kupambana na wafilisi n.k yaani hapa mwalimu hapangiwi cha kufundisha.
Kuna wapemba, wachaga, wakinga , Waha n.k hata lasaba hawajamaliza lakini wanaijua business administration.
Muha mmoja alinipa mbinu ya kuchagua lactation ya biashara . Nilistaajabu sana ile elimu kutoka kwa kijana wa std 7.
Hawa wahitimu wa business administration mtaani huku hawana maajabu zaidi ya kuhangahikia ajira za sells na promotions.
MBINU ya kuchagua location ya fremu ya biashara.
Kwanza lazima ufahamu biashara yako inapaswa kuwa sokoni au mitaani.
Kwa mtaani angalia upande ambao watu hupenda sana kupita kwa mguu . Huo upande ndio wenye pesa. Hii ni nature kuna upande hata kama uko bondeni au kilimani lakini watu hupenda kupitia upande huo wakiwa wanatembea.
Kwa upande wa sokoni first inakubidi ujue bidhaa yako ni ya wateja wa pale sokoni au watu wengine tu wa mitaani ambao wanafuata mahitaji hapo sokoni.
Ukijua hilo ndipo unatafuta location. Unaweza kuona una bonge la location kumbe ile sehemu ni rafiki kwa wateja wa ndani tu na wewe bidhaa yako ni kwa wateja wa nje.
Nimechoka kuandika. Nina stress ya kupoteza milioni 7 kwenye casino.