watumishi wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Nyang’hwale - Geita hatujalipwa Fedha za Kujikimu, wanatuzungusha tu

    JamiiForums tunaomba mtusaidie kupaza sauti Watumishi wa Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang`hwale, ajira za August 2025 na January 2026 mpaka leo hatujalipwa fedha zetu za kujikimu licha ya kuambiwa hizo fedha kutolewa na Serikali tangu Juni 2026.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya tunalazimishwa kuchangia pesa ya Mwenge, Halmashauri ya Wilaya Buhigwe - Kigoma

  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Medical Attendants hatuna wa kutusemea, maslahi yetu yanapuuzwa

    Kwa zamani ilikua ikijulikana kwa jina la Medical Attendant, hii kada imekosa watetezi kama ilivyo kwa wauguzi wanachama chao kanachojulikana kwa TANA hadi kadhalika kada zingine za afya. Hii inatufanya sisi kukosa watetezi au wasemaji wa kada hii. Pia katika upandaji wa madaraja kada hii...
  4. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021

    Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa. Nimekuwa nikiandika barua za...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya, Nkaiti Health Center ya Babati - Manyara tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni Watumishi wa Afya katika Nkaiti Health Center iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire, tunaomba sana msaada wa kupaza sauti juu ya changamoto kubwa tunazokutana nazo, kwani mazingira ya kazi na maisha kwa ujumla ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Nachingwea – Lindi tukidai fedha za kujikimu tunatishiwa kuhamishiwa Zahanati za Vijijini

    Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa. Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iongeze Watumishi wa Afya, Wilaya ya Mlele, Kitengo cha Mionzi, kuna mtumishi mmoja tu

    Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati. Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutumia Trillioni 1.2 kuijenga Muhimbili ni dhihaka kwa Watumishi wa Afya

    Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la Muundo, Bunge lipo kinywa kujadili na kupitisha muundo Mpya wa Mishahara sekta ya Afya inchini...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho. Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Ilala tunakosa mikopo sababu Viongozi wanachelewa kutoa tangazo kwa makusudi ili wakope wao kwanza

    Asilimia kubwa ya sisi Watumishi wa chini wa Afya wa Serikalini tuliopo katika Halmashauri ya Ilala tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua muda mrefu, tunaona bora kuiweka wazi ili mabosi wetu ngazi ya Serikali Kuu wajue kinachoendelea na hatua zichukuliwe. Kuna mikopo ya Serikali ambayo imekuwa...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete aongoza Watumishi wa Afya kuaga mwili wa Dkt. Mango

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) leo Mei, 31, 2025 amewaongoza mamia ya Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), JKCI, MNH, MUHAS na waombolezaji wengine kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhaba wa watumishi wa afya unavyochochea rushwa Maswa

    Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya. Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mtu wa Kada ya Afya hujaajiriwa au unapenda fanya kazi Geita basi tukutane hapa

    Just comment unachotaka kujua au private message tupeane details na nini cha kufanya. Muwe na siku njema.
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
Back
Top Bottom