Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ?

Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k.
Mahakamani - mahakimu ha majaji

Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu respect ila hasa kuanzaia ngazi ya luteni

Polisi - maofisa wa makosa ya jinai, maOCD, RPC

Ikulu - Yani hata uwe na kazi ya kawaida tu.

CCM - vyeo hasa vya wakuu wamatawi ya chama kuanzia ngazi ya wilaya.

TRA - cutom officers, Wahasibu na wakaguzi, makamishna, n.k.

BOT
Bandarini
Usalama wa taifa
Tanesco
Nssf
n.k
 
Wenye pesa wanaheshimiwa mpaka na wenye vyeo ...pesa ni Kila kitu!
 
Kuna uoga na kuheshimu mamlaka.Zoea hilo.Hata Mtendaji wa Kijiji ni mtawala kimamlaka.Ni lazima utamtambua/kumuheshimu hata kama hautaki.Kula chuma hicho!
 
Wanaheshimiwa kwa status yao kwani wana chanzo madhubuti (uhakika) cha kipato cha kila mwezi. Halafu wanakopesheka i.e. wanaweza kukopa na wanaaminika tena isitoshe ikitokea mmoja asipolipa(Akizingua) unamshtaki kwa immediate boss wake na sio mahakamani kwenye usumbufu mkubwa tena.
 
Back
Top Bottom