wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hanje: Wabunge Vijana hawana michango yenye tija kwa Watanzania

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema wabunge vijana wanashindwa kulisaidia Taifa kwa kuwa michango yao bungeni haina tija na haiwezi kuwapeleka mbele Watanzania. Ameeleza hayo Februari 10, 2021 bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa Mpango wa Serikali unaoonyesha mwelekeo wa...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

    Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali. Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha. Serikali siyo kwamba hawajui kinachofanyika huko mitaani, ila wanafumba macho ili wawakamue na...
  3. boniuso

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa baadhi ya Wabunge wamekosa sera au waliingia Bungeni bila kujua wajibu wao

    Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona 1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi. Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli hiki ndicho wananchi wa baadhi ya majimbo wanakitaka kutoka kwa wabunge wao?’ Yaani hawataki shule...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi hawakubaliani na utawala uliopo bali wanauheshimu?

    Kila Mbunge anayesimama bungeni anakosoa utaratibu unaotumiwa na awamu ya tano kuendesha Mambo yake. Kwa mfano; Sospeter Muhongo katika vipaumbele vyake vitano anavyopendekeza hakuna hata kimoja ambacho amekieleza kwa mrengo wa kukubaliana na vipaombele vya serikali iliyopo. Ametaja kilimo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hapa hatuna wabunge, tuna wanachama

    Ndiyo, Mkutano wa pili na wa mwanzo kabisa wa mwaka, hakuna hoja za muhimu kwa wananchi zilizojadiliwa na wabunge wa JMT. Badala yake hoja kubwa ni kumuongezea muda wa urais Mh Rais Magufuli. Kuna hoja nyingi za msingi kama: Tahadhari dhidi ya korona Ukosefu wa ajira kwa vijana Deni la...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, mzaha wenu kwa Katiba juu ya muda wa Rais kukaa madarakani ni msiba kwetu sote

    Kuna mtu aliwahi kusema humu Jamiiforums kwamba in politics everything happens for a reason. Akimaanisha kwamba lolote ulionalo kwenye siasa halitokei kwa ajali liko well calculated na linafanywa au kusemwa kwa sababu. Nawaonya wabunge wa CCM mchezo wao na mzaha wao kwenye katiba yetu ni anguko...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukijaaliwa karama ya uongozi ukapenda pesa utaishi kama wabunge 19 walioteuliwa na Ndugai

    Kila unapopewa nafasi yakutumika waangalie unaowatumikia. Yapo madhara yakumtumikia mtu katika kazi inayohitaji uwatumikie watu. Ukimtumikia mtu utaacha maslahi mapana ya watu kwa maslahi mapana ya mtu. Haya yanadhiirika kwa wabunge 19 walioteuliwa na spika kutoka chadema. Wakati wakiwa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Corona Wabunge wetu mjitambue nyinyi ni wawakilishi wa Wananchi na sio wataalamu

    Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani? Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea Corona ni nini? Inasambaa vipi? na kibaya zaidi anahitimisha kwa kutoa wito kwa wananchi ni kitu gani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge pazeni sauti kuhusu fedha kiduchu wanazopewa TARURA

    Kuna Mamlaka mbili zinazosimamia barabara za Mikoa na barabara za Vijijni(Halmashauri). Mamlaka hizi zinagawiwa fedha na Serikali kila mwaka kutekeleza kazi za barabara kwa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara. Nitoe mfano. Awamu ya nne kabla ya kuanzishwa TARURA ujenzi wa barabara...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Bunge la sasa ni kikao cha CCM. Hesabu hazidanganyi; wabunge wa Upinzani ni 6% tu!

    Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC) Upinzani una wabunge 25 kati ya wabunge zaidi ya 390! Tofauti niliyoiona ni uwepo wa Siwa na Posho ya kukaa. Kwa idadi yao...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu maslahi ya Wabunge?

    Ben aliacha kiinua mgongo cha Mbunge kikiwa 35M. JK awamu ya kwanza akakitoa 35M to 90M na awamu ya pili akapandisha kutoka 90M hadi 240M. Bila shaka hapo ndipo ubunge ulipoacha kuwa utumishi ukageuka fursa ya kiuchumi. Yohana hajaongeza hata mia. Ameacha kama alivyokuta. Lakini kumekuwa na...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

    Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari. Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika). Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box. Britannica
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kuanza vikao leo. Spika Ndugai awapongeza wabunge kwa kuuliza maswali mafupi mafupi

    Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Februari 2 hadi Februari 12 mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa ya Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa katika mkutano huo shughuli zitakazofanyika ni pamoja na maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yanayotarajiwa kuulizwa na wabunge. Pia, wabunge...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

    Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na CHADEMA washiriki kikao cha Bunge leo

    Wale wabunge 19 wa Viti Maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi hii wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini Dodoma. Itakumbukwa Wabunge hao tayari walishavuliwa uanachama na chama chao mwishoni mwa mwaka jana...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

    Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu. Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa...
  18. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna wabunge wapo kwenye kamati zaidi ya moja?

    KWANINI WABUNGE WENGINE WAPO KWENYE KAMATI ZAIDI YA MOJA? Na Elius Ndabila 0768239284 Sawa! Swali lako ni la msingi. Labda kwa faida ya wengine nianze kwa kusema hivi:- Utaratibu unaongoza kupata kamati hizi za Bunge ni kwa mjibu wa Kanuni za kudumu za Bunge. Kifungu cha 135 cha kanuni za...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa CHADEMA kuongoza Kamati za kudumu za Bunge ikiwemo PAC na LAAC

    Spika wa Bunge, Job Ndugai Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku pia wenyeviti wa kamati hizo wakitajwa, wakiwemo baadhi ya wabunge waliofukuzwa uanachama wa Chadema. Miongoni mwa wabunge waliotajwa ni Naghenjwa Kaboyoka aliyetetea uenyekiti wa Kamati ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge kama hawasikii kilio juu ya HESLB

    Hawa wabunge wangu wa Tanzania nilikuwa nawasubiri kwa hamu kila kikao cha bunge angalau mmoja atapaza sauti juu ya hiki kilio cha watanzania juu ya asilimia 6 inayojulikana kama retention fee. Ukweli ni kwamba hakuna wakuhoji Ile Sheria. Sheria Ile kama ingetokea kwamba ipigiwe Kura, nahisi...
Back
Top Bottom