wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

  3. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wamelala usingizi wa pono. Hawasemei miradi iliyotekelezwa maeneo yao

    Wana JF hamjambo? Nimeona watu wengi wanaojiita great thinkers wakizungumzia miradi inayofanyika Chato! Hii inasikitisha sana kwa macho yootee kuangalia sehemu moja! Wabunge wengi wanafahamu nini kimetekelezwa na kinaenda kutekelezwa kwenye maeneo yao! Ila wapo kimyaaaa! Kinachofanyika Chato...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliochaguliwa na wananchi wana uwezo mkubwa wa kuleta chachu ya maendeleo

    Januari imefika taarifa iliyoko ni kuwa watoto wetu wengi wanaoanza kidato cha kwanza hawana madarasa ya kusomea. Hili ni swala la kila mzazi na mwananchi. Hatujui nani katika hawa watoto atakuja kuboresha sera za nchi sisi tukiwa ni wazee. Watanzania walioko Ughaibuni wangetumika kusaidia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

    Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali. Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini. Maendeleo hayana vyama!
  6. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

    Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya . Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae. Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

    Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni. Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja...
  8. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki. Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wote walioapishwa na Spika ni halali; Je, Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno?

    Mpaka sasa watanzania wengi tupo njia panda maana hatujui kama waliokuwa wanachama wa CHADEMA - 19 ambao walivuliwa uanachama na chama chao bado ni wabunge halali au la? Jana gazeti la mwananchi limemnukuu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisema wabunge wote aliowaapisha ni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

    Tukio liko mubashara TBC Karibu. Updates; Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai. Walioapa 1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe 2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde 3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete 4. Salum...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

    Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini. Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya watakiwa kurudisha fedha zote walizojilipa kama posho ya nyumba kinyume na Katiba

    The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report. The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, kufuatia utetezi wa Spika Ndugai kwa wabunge wa Chadema kuna haja ya wabunge hao kukata rufaa baraza kuu kudai Uanachama!

    Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia. Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni

    Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Kuna haja ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Wakili wa kujitegemea, Profesa Abdallah Safari ameishauri CHADEMA kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uhalali wa ubunge wa makada 19 wa chama hicho walioadhibiwa baada ya kwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum na kutotokea mbele ya Kamati Kuu kujieleza. Wanachama hao, ambao ni pamoja na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Matsai: Watanzania tunatambuana kwa Utanzania wetu na siyo Dini zetu, serikali ijenge fly over Jangwani!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini. Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo na Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliyeshiriki ibada Kanisani hapo. Kadhalika mchungaji...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya walioteuliwa kuwa Mawaziri wataanza na kiapo kipi, cha Ubunge au cha Uwaziri?

    Miaka ya nyuma iliwezekana waziri kuanza na majukumu yake kabla hajala kiapo cha ubunge na hii ilikuwa ni kwa sababu wabunge waliapishwa wakati wa vikao vya bunge. Je, kwa sasa hawa wabunge wapya akina Dkt. Dorothy na mwenzake itabidi waanze kwa Ndugai ndio waelekee Chamwino? Nawatakia...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
Back
Top Bottom