Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi.
Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi na kesi hufanyika kwa kufanya reasoning tu na kisha hakimu au jaji anatoa uamuzi. Mfano huwezi...
Picha ya Pamoja ikimwonyesha Mhe. Halima Mdee na wenzake 19 mara tu baada ya kuapishwa na Spika Job Ndugai (hayupo pichani) JIjini Dodoma Juzi
Nimepata fursa ya kusikiliza maelezo ya Halima James Mdee aliyoyatoa jana, tarehe 01 Desemba 2020, mbele ya waandishi wa habari, katika Hoteli ya...
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa na malalamiko na madai hayohayo ya kuibiwa kura na tume isiyokuwa huru, lakini vyama vya upinzani havijaacha kuhudhuria vikao vya bunge wala kuteua Wabunge wa viti maalamu kwenda kuapa na kuhudhuria vikao vya Bunge.
Mara...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa Regency wakiwa wamevalia sare za CHADEMA almaarufu 'Gwanda'. Kuwa nami kukujuza watachokiongea...
Kwa siku za karibuni, kumekuwepo na mjadala mkubwa sana juu ya sakata la wabunge 19 wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokraaia na maendeleo ( CHADEMA)
Kwa mujibu wa ibara ya 71 (1)(e) ya katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inasema mbunge atakoma kuwa mbunge endapo...
Ukiangalia na ukimsikiliza spika ni kama vile mtu anaongea jambo kama mtu anaenda kuposa kwa mwanamke hasiye mjua, chama cha CHADEMA kina wanachama wake , viongozi wake, sera zake , miongozo yake , kanuni zake pamoja na katiba yake , hivyo jambo lolote linalofanyika kwa Chama linafuata hizo...
Kwa mujibu Kanuni za Kudumu za Bunge Kifungu cha 30 (2) kinaeleza;
Endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu Spika atamuapisha katika:
b) Kikao chochote cha Bunge iwapo kuna Mkutano wa Bunge au;
b) Eneo litakalopangwa na Spika iwapo hakuna Mkutano wa Bunge unaoendelea...
CHADEMA BAWACHA ndio ilibaki nguzo pekee ya CHADEMA ya kuaminiwa.
CHADEMA walilisifu sana BAWACHA kuwa eti wabunge na madiwani wote eti kwa kile kinachoitwa kununuliwa wabunge na madiwani walikuwa ni wanaume tu wanawake wa BAWACHA hawakukubali.
Msimamo huo ulisababisha wabunge wanawake wawekwe...
Tukio la karne na kihistoria la Spika wa Bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima Mdee na wenzake 18 nje ya ukumbi wa Bunge bila kuwepo kwa Wabunge wengine, wala kikao rasmi cha Bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na Kikatiba.
Mtihani huo sasa...
Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa?
Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
Kauli hiyo ameitoa hii...
Waliokuwa wanachama wa Chadema, Halima mdee na wenzake waliofukuzwa chama na kamati kuu kwa usaliti!
Wanaweza kujipanga upya kufungua kesi jumatatu kupinga kufukuzwa kwa sababu zifuatazo;
Watadai kwamba taratibu za kumfukuza uanachama zilikiukwa kwa sababu hawakusikilizwa kutokana na dharula...
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii...
Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane.
Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu...
Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM.
Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa.
Hapo CHADEMA kuna biashara gani.
Morrison funga hao Nigeria.
Maendeleo hayana...
Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe?
Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.