Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,394
142,634
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.

Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata hamna faida, wapowapo tu hapo kupata riziki zao lakini, hakuna kazi ya maana sana, ile faida ya kuwepo bunge na kujaa mijadala motomoto mpaka kufikia wananchi hawataki kukosa matangazo kutoka bungeni.

Leo ni walewale mna njaa ndio mmeshiba ndio.
 
Chadema imepeleka wanawake mahodari sana bungeni.
sijawajau wabunge wa ACT na CUF ila kwa Chedema wamepeleka majembe tupu.
 
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.

Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.

Maendeleo hayana vyama!
You're too petty sometimes.
 
Hilo swali hata mie nimejiuliza sana. Hii nchi siasa zinatupeleka pabaya sana. Hizo nafasi za kamati walizowapa wabunge feki si wangewapa ACT wa visiwani?
Tumeangalia chama chenye nguvu,kinachotupa changamoto kwenye chaguzi.Its obvious.
 
Wameogopa kuwapa ACT kelele za "wenzao" zingezidi, ndio maana wakafanya kila wawezalo kuwanunua wale wa Chadema.
 
Maana yake ni kwamba walisha malizana na ACT wamewapa hela ya kula, wamewapa umakamu wa rais na wamewapa matibabu kwa majeruhi kwa hiyo fidia zote hizo hawastahili kingine.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.

Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hilo swali hata mie nimejiuliza sana. Hii nchi siasa zinatupeleka pabaya sana. Hizo nafasi za kamati walizowapa wabunge feki si wangewapa ACT wa visiwani?
PAC na LAAC siyo masuala ya Muungano, kwanini yasimamiwe na wabunge wa kuazimwa toka visiwani? Wabunge wa zanzibar jukumu lao kuu ni kuangalia bajeti ya mambo ya Muungano na Wizara ulinzi inazingatia mambo ya Zanzibar and not otherwise.......!
 
Chadema imepeleka wanawake mahodari sana bungeni.
sijawajau wabunge wa ACT na CUF ila kwa Chedema wamepeleka majembe tupu.

Cdm haijapeleka wabunge kwenye hilo bunge kibogoyo acha upotoshaji wa kijinga boss. Hao wabunge wamejipeleka wenyewe kwa makubaliano na ccm.
 
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.

Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.

Maendeleo hayana vyama!
Bunge letu Tukufu linataka Wabunge Waliofukuzwa na Chama Chao ndio ndio KATIBA Inavyotamka
 
Back
Top Bottom