Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,755
21,219
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.

IMG_20210114_195810.jpg


Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia iliyobaki.

Matokeo yameanza kutoka kwa baadhi ya vituo hapo nchini Uganda na babu anaonekana kuchapwa vilivyo, kwa utaratibu wa tume na sheria zinasema ndani ya masaa 48 mshindi awe ametangazwa ila naona walishajua kitakachotokea so wamesogeza mbele siku ya kumtangaza mshindi inaweza kuwa zaidi ya jumamosi ijayo.

Hapa chini baadhi ya vituo nilivyobahatika kupata matokeo yake...


IMG_20210114_195758.jpg


KAMULI DISTRICT
KBS Polli station
Bobi Wine 126
Museveni 65

Water supply PS
Bobi Wine 185
Museveni 84

Post Office PS
Bobi Wine 193
Museveni 86

St Mark PS
Bobi Wine 113
Museveni 71

Tororo District, Malaba polling stations results

Mosque polling station

Bobi-181
M7-78

St Steven A
Bobi-176
M7-118

ST Steven B
Bobi-192
M7-77

Jyambula ps
Bobi-135
M7-55

Police ps
Bobi-50
M7-22

Forest ps
Bobi- 170
M7-91

Asinge
Bobi-126
M7-86

Hsptl ps
Bobi 145+135
M7-80+44
20210114_224942.jpg

20210114_225345.jpg
20210114_225336.jpg


20210115_000820.jpg

UPDATE:
Kunaa wadau wanadhani wagombea urais ni kati ya Kyagulanyi na Museveni.


Nembo ya Uchaguzi wa Uganda 2021

Hawa ndiyo wagombea wa urais nchini Uganda wanaowania kiti cha urais👇.​


1.PATRICK OBOI AMURIAT
Forum for Democratic Change (FDC)

2.JOSEPH KIIZA KABULETA
Mgombea binafsi

3. NANCY LINDA KALEMBE
Mgombea binafsi (Female)

4. JOHN KATUMBA
Mgombea binafsi

5. NORBERT MAO
Democratic Party (DP)

6. WILLY MAYAMBALA
Mgombea binafsi

7. MUGISHA GREGORY MUNTU
Alliance For National Transformation (ANT)

8. YOWERI KAGUTA TUBUHABURWA MUSEVENI
National Resistance Movement (NRM)

9. FRED MWESIGYE
Mgombea binafsi

10. ROBERT KYAGULANYI SSENTAMU
National Unity Platform (NUP)

11. HENRY TUMUKUNDE
Mgombea binafsi

====

UGANDA: MUSEVENI AONGOZA KATIKA MATOKEO YA AWALI

- Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi, matokeo ya awali ya yanaonesha Yoweri Museveni amepata kura zipatazo Milioni 1.5 huku Bobi Wine akiwa na 647,146

- Kura zilizohesabiwa ni 23.69% ya Vituo 34,684

Soma > Museveni maintains lead as Uganda awaits final election results

====

UPDATES

====

Electoral Commission (EC) chairman Simon Byabakama Saturday credited opposition frontrunner Robert Kyagulanyi aka Bobi Wine with 3,119,965 votes as his percentage surged to 34.62% as ruling National Resistance Movement (NRM) party presidential candidate, Yoweri Kaguta Museveni’s percentage lead significantly dwindled from 61.98% to 58.83%.

This, the first time incumbent president Museveni’s percentage vote count fell below 60%, since tallying commenced Thursday at the national tally centre, Kyambogo, Kampala. However, should Mr Museveni maintain lead above 50%, he stands chance to win and extend his rule to 40 years.

According to EC provisional results, Mr Museveni is pacing on with 5,303,831 votes of the 9,100,865 valid votes in.

2021 Presidential election provisional results from 30,098/34,684 polling stations received so far (86.78%) released January 16, 9:20am
Presidential CandidateCandidate’s PartyCumulative vote tallyPercentage (%)
Amuriat Oboi PatrickForum for Democratic Change (FDC)296,6453.29
Kabuleta Kiiza JosephIndependent39,8020.44
Kalembe Nancy LindaIndependent33,1290.37
Katumba JohnIndependent32,6920.36
Kyagulanyi S Robert aka Bobi WineNational Unity Platform (NUP)3,119,96534.62
Nobert MaoDemocratic Party (DP)49,9040.55
Mayambala WillyIndependent12,1240.13
Mugisha Muntu GAlliance for National Transformation (ANT)59,5050.66
Mwesigye FredIndependent21,8410.24
Tumukunde Henry KIndependent44,4270.49
Museveni T KagutaNational Resistance Movement (NRM)5,303,83158.83
Valid votes in9,100,865
Invalid Votes 336,4473.6% of votes cast
Spoilt votes26,704
Number of votes9,347,31251.63 of registered voters
Total Number of registered voters 18,103,603

*Accurate as per January 16, 2021 (9:25am Local EAT) with the next batch of provisional results set to be released by the Electoral Commission on January 16, 2021 (11:30am Local EAT)

Constitutionally, president elect should be declared within 48 hours from the time polls closed, Thursday 4pm.
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii, ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo. Wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza.
Mkuu kumbuka urais ni taasisi, so hata wewe unaweza kuwa Rais but ukichukua hicho kiti ndipo utajua kuna nini ndani, hutabaki kuwa muuza karanga bali protokali.

Hata hao wakoloni kuna nchi wananchi walimpa mchekeshaji urais na mpaka sasa anafanya vizuri sana.
 
Mkuu kumbuka urais ni taasisi, so hata wewe unaweza kuwa Rais but ulichukua hicho kiti ndipo utajua kuna nini ndani, utabaki kuwa muuza karanga.

Hata hao wakoloni kuna nchi wananchi walimpa mchekeshaji urais na mpaka sasa anafanya vizuri sana.

Hyo ni Kwa ulaya mkuu, Africa hamna
 
Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Mbona wapo hata waliokuwa wanakesha kwenye corridor za mabibo hostel kusubiria vimwana kina kabula wamekuwa maraisi wa nchi zao?

Wapo walio wahonga vimada nyumba za umma na wakakwa maraisi?

Wapo waliojiita vichaa vichaa hivi kwamba wao ni maraisi vichaa na wanaongoza nchi zao hadi leo.

Wewe unaona bhangi hatari?
 
Mkuu kumbuka urais ni taasisi, so hata wewe unaweza kuwa Rais but ukichukua hicho kiti ndipo utajua kuna nini ndani, hutabaki kuwa muuza karanga bali protokali.

Hata hao wakoloni kuna nchi wananchi walimpa mchekeshaji urais na mpaka sasa anafanya vizuri sana.
Mwaambie anajua kuwa reagan laikua muigiza sinema Holywood?
 
Back
Top Bottom