Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,696
2,000
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
 

DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
949
1,000
Hilo swali hawatalijibu...

Wanachagua vitu laini laini ndio wanaviacha ila comments ambazo ni solid wanafuta...yote kheri
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
4,971
2,000
Mbona huyo inajulikana mkuu , hayo ni makubaliano baina ya Serikali , mdee na watu wake pamoja na Mbowe ...hii ipo was kabisa na action zote alizochukua Mbowe serikali inajua before kwamba lengo lake ni kurestore spirit ya wanachadema huku yeye akijivua lawama .... Japo kuna vipengele vya katiba vitakiukwa ili kufanikisha hili but Serikali imebariki , na hakuna mwanachadema from high command atakayehoji
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,235
2,000
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya Kuwa siri na Kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika)

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box

Britannica
Nilileta mada nyeti kuanika hilo humu Leo mchana moderators wakailamba nzima nzima na kuipotezea na kuitupa huko
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
102,283
2,000
CCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa umma
Hapo sasa ndiyo unawataka ccm wakuone wewe ni mchochezi na mpinga maendeleo .

Wanaogopa sana mambo ya katiba mpya
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,235
2,000
CCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa umma
Tatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but as a CCM member I know you don't want to clean your house
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom