wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Woga mkubwa wa Wabunge ni uchaguzi huru

    Wabunge wengi wanajifanya wanapenda mipango ya mpendwa wetu Magufuli lakini kelele zote za kusema Mama afanye ya Magufuli ni woga wa uchaguzi huru. Kama wabunge wanafanya kazi ya wananchi na wamechaguliwa kihalali uoga wa nini? Tuwape siri tu mipango yenu sio mipango ya Mungu na kama wewe...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii. Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
  3. Patriot

    JamiiForums Tanzania Michango ya JF inawasaidia Wabunge wanaosoma majadiliano haya

    Tukumbuke wabunge wengi elimu ni ndogo kuliko wenye elimu kubwa. Bahati mbaya hawana tabia ya kutafuta washauri kabla ya kujipanga kutoa michango. Lakini nimekuwa na hisia kwamba wapo wanaotafuta michango mizuri kutoka hapa JF. Kwa wiki nzima nimeangalia baadhi michango ya wabunge...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

    Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wabunge wanaomshambulia hayati Magufuli wakome, wengine walikuwa hawachaguliki Magufuli akawakingia kifua. Lusinde kupewa Udaktari

    Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Spika Job Ndugai atajibu tuhuma za yeye na Wabunge kuhongwa Pesa na serikali ya Magufuli ili kupitisha miswada mibovu ya sheria kandamizi?

    Mh Mbowe katika hotuba yake kwa Taifa pamoja na mambo mengine mengi aliyoyazungumza, pia alizungumza kwa msisitizo sana jinsi Bunge la Tanzania lilivyogeuzwa kuwa Muhuri wa kupitisha Sheria mbovu za ukandamizaji pamoja na kuunga mkono bajeti za serikali zenye makando kando. Mbowe alitamka bila...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabunge wasio na chama wapo Bungeni kwa sheria ipi? Nani anawalipa?

    WABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake...
  8. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

    Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya. Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli. Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa malalamiko yake binafsi, ukweli mchungu aliouongea Mbowe jana ni "tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua"

    Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua. Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni. Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata CCM ni majuto - Wabunge wengi sio chaguo la wananchi.

    Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao. wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kama wabunge wanaikataa miradi ya hayati Magufuli basi ilani ya CCM iliyoshinda uchaguzi ibadilishwe na tuichague upya!

    Mambo mengine yanayoendelea bungeni ni ya kitoto sana na lazima yakemewe kwakweli. Anasimama mbunge anasema SGR itatumia miaka 81 kukamilika hivyo haitufai. Anasimama mwingine anasema Umeme wa maji ni hasara kwa taifa kwa sababu umepitwa na wakati. Tukumbuke kuwa hii miradi miwili pekee...
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa wabunge kutafakari sana kabla ya kuchangia hoja zao; Watanzania walilia watalia na wengi

    WABUNGE WETU MNAOTOA USHAURI JUU YA MIRADI ILIYOANZISHWA WAKATI WA HAYATI JPM TAFAKARINI SANA KABLA YA KUONGEA. Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa muda sasa ila ninachokiona kinasikitisha sana. Wabunge wengi wanaoshauri wanatoa ushauri kama hawakuwepo kabisa Tanzania na ndiyo wanaona yanayotokea...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu na ukweli Mawaziri na Wabunge wa CCM waliokuwepo awamu ya tano walikuwa wakatili!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

    Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo. Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
  18. Maleven

    JamiiForums Tanzania Sijasikia viongozi, wabunge na watu maarufu wakitetea wananchi kuhusu vifurushi vipya

    Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii? Kwanini mitandao mingi imekaidi?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CHADEMA iende mahakamani kupinga uteuzi wa wale wabunge 19

    Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi: Ninadhani tunamuonea Dkt. Ndugulile. Je, wabunge kazi yao ni ipi?

    SIONI SABABABU YA KUMLAUMU MHE DKT FAUSITE NDUNGULILE Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya mabadiliko ya vifurushi vya mitandao jana kubadilika Watanzania wengi walilalamika kuwa vifurushi hivyo havijaja kuwasaidia bali kuwaumiza. Pamoja na maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Viongozi wa TCRA...
Back
Top Bottom