waandishi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

    Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania. Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Waandishi wa Habari wakiwa wanasema fulani kazikwa na maelfu na mwingine wanasema kazikwa na mamia huwa wanamaanisha nini?

    Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. ======== Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
  5. Rule L

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Dennis Msacky na Aboubakary Liongo walamba teuzi ndani ya CCM

    Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi. Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi. Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kudownload mitandaoni naombeni mnisaidie pdf za vitabu hivi

    Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu. link ya vitabu
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  10. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Habari. Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari. Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Waandishi wetu bhana! Kapewa tip Tanesco vibarua wanalipwa 15,000 kwa mwezi kaileta redioni kama ilivyo

    Mwandishi wa Wasafi ambae jina sijalipata, kapata tip huko mtaani vibarua wa Tanesco wanalipwa elfu 15 kwa mwezi nae kaibeba kama ilivyo kaja nayo redioni bila hata kufanya kitafiti kidogo. Angejiuliza tu 15,000 ukiigawa kwa siku 30 unapata jero kila siku, tenahapo akadai na NSSF wanaikata...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Claud Gwandu: Ukifanya mahojiano na Waandishi wa Habari wa Arusha baada ya Interview wanakukaba

    Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC), Claud Gwandu akizungumzia kuhusu changamoto ya Maadili ya Waandishi wa Habari wa Jijini Arusha, amesema hayo wakati wa Uzinduzi wa Arusha Women in Media, Machi 17, 2024.
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake. Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UWT, kuongea na Wanahabari

    CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania MISA-TAN yahuzunishwa na DC wa Bariadi, Simon Simalenga kuwafukuza waandishi wa habari kwenye kikao cha ushauri cha wilaya

    Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika kikao cha ushauri cha wilaya ya Bariadi, kilichofanywa na Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Simon Simarenga...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Tanzania mna matatizo gani?

    Maswali chechefu: 1. Je, gazeti la "Mwanahabari" ni la nani? 2. Je, mwandishi aliyemtaja Naibu Waziri Mkuu, Mhe Dotto Biteko, kama "BITOKE" alikuwa anamuwaza muigizaji EBITOKE? 3. Je, gazeti hili halina Mhariri? 4. Je, gazeti hili linajua kuwa linapaswa kumuomba radhi Mhe Biteko & "Bongolanderz"...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

    Wadau hamjamboni nyote Benjamin Netanyau ataongea na waandishi habari Leo saa 2:30 usiku Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a press conference this evening at 7.30 p.m. The address, in which he will answer questions from journalists, comes amid an apparent deadlock in talks for a...
Back
Top Bottom