waandishi

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tumewazidi pakubwa sana Simba. Hasa upande wa Media na Waandishi

    Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu. Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyeiba Simu mbili za Aziz K jana kwa Mkapa alipokuwa Akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya Ndiki Kumalizika ameshazirudisha au?

    Ila Wabongo balaa dadeki zenu yaani hamna hata cha huyu ni Mgeni au Mwenyeji akijichanganya tu mnamuumiza.
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Dar wanavyoitwa kwenye press mkoani nani huwa analipia gharama zao?

    Hawa waandishi wa habari wanaosafiri kutoka Dar kwenda mikoani kama huko Arusha kwenye press conference huwa wanalipiwa na vyombo vyao vya habari au na yule aliyewaita kwenye hiyo press conference yake?
  4. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    13 November 2024 Arusha, Tanzania CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024 https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 13 November 2024, akiwa na Godbless Lema ambaye ni mwenyekiti...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF)...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  8. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Kumbe waandishi wa habari wana akili kuliko Hezbollah, acha wafu wazikane

    Waandishi wa habari wakikimbilia hotuba ya msemaji wa Hezbollah kuchukua mic zao na kuondoka baada ya msemaji wa IDF kutoa agizo la Evacuation.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mzuri (TAMWA – Zanzibar): Wanahabari kuweni wajasiri na wabunifu katika kuibua Wanawake kushika nafasi ya Uongozi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi. Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA anazungumza na waandishi wa Habari

    Muda huu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni https://www.youtube.com/live/IzvkWYUP3hA
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) yapinga Serikali kufungia Mwananchi kutoa huduma Mtandaoni

    TAARIFA YA KUPINGA KUFUNGIWA KWA CHOMBO CHA HABARI CHA MWANANCHI DIGITAL Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania, (UTPC) unapinga vikali kitendo cha Serikali, kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufungia kwa muda wa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu za CCM na usalama wa Waandishi wa Habari

    Baada ya wapinzani, kundi jingine linaloonekana kuteswa na kutaabishwa na ccm, ni hili la waandishi wa habari. 1. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi alipokuwa akiripoti maandamano ya chadema. 2. Azory Gwanda alipotezwa na hajulikani alipo sababu ikisemekana ni kuandika habari za uchunguzi kuhusu...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  16. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo mbinu zilizotumiwa na CIA kuudhofisha Ujamaa duniani. Waandishi wa habari wa kijamaa walikipata cha moto

    Fuatana nami Kama uliwahi kusikia dunia ya magharibi na mashariki, au ulipata dodoso za vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia Baadae vita ya baridi basi vuta kumbukumbu hapo. Dunia ilikua almanusura izolewe yote na wajamaa, au ujamaa kumbuka tulikua na ujamaa na ubepari, mataifa mengine...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

    Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya. Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Cyril Ramaphosa: China haina lengo la kuiingiza Afrika kwenye mtego wa madeni

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni," Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari TZ ni makada?

    Hawa waandishi wetu huwa hawanaga ubunifu wa kuandika habari zinahusu jamii yetu? 1. Vijana, 2. Ukosefu wa ajira? 3. UTEKAJI/abductions, 4. Kuwawezesha wanawake? 5. Ulinzi wa watoto? 6. Mabadiliko ya tabia ya nchi/mazingira? NB: Zaidi ya kuripoti mikutano ya viongozi, matamasha? vikao vya bunge?
Back
Top Bottom