waandishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Masuala haya ambayo MBOWE atayazungumzia kwenye mkutano na waandishi wa habari ni hadaa kwa umma.

    Mkutano wa mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo Februari 03, 2020 majira ya 5 asubuhi umejaa hadaa na upotoshaji kwa umma, nitafafanua kila jambo kwa hoja. Tume huru ya Uchaguzi. kamati ya Maridhiano Marekebisho ya katiba kuzuiwa kusafiri nje...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

    Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao Vitabu vya Watoto Muandishi Jina la kitabu W. Mkufya Androko na Simba Ziraili na Zirani Richard Mabala Mabala the Farmer Hawa the Bus Driver Elieshi Lema Safari ya Prospa Mwendo Parched Earth Nyamanza Ndege wa Amani Parched Earth: A Love...
  4. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Orodha yangu ya waandishi wa vitabu na watunzi wa stori..

    Hi.. Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu au stori mbalimbali itakua kuna watunzi utakua unawakubali, kuna watu wamejaliwa vipaji sana humu duniani yaani ukisoma kitu unajiuliza alifanyaje hadi akatunga kitu kama hiki. Unakuta stori imepangwa ikapangika akili kubwa imetumika. Binafsi hii ndio...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake. Sasa akili kichwani juu ya kuunga juhudi mkono

    Waandishi wa habari mmeona ya Kabendera na mama yake ila akilini zenu mnazijua wenyewe kesho kalamu zenu ziunge juhudi mkono juhudi maana memory life span zinatofautiana kazi kwenu naamini mtanielewa. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mama Kabendera pia pole sana kwa Kabendera kwa kukosa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: CHADEMA Kanda ya Nyasa kuzungumza na Waandishi wa Habari Iringa Mjini

    Kaa tayari kwa hoja nzito . Wote mnakaribishwa
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tanzania hamjitambui

    Alipotea Azory Gwanda mpaka leo hamjachukua hatua yeyote Kwanini msichukue hatua kwa vitendo kusitisha kutangaza habari yeyote inayohusu Serikali mpaka mwenzenu apatikane? Angalia reaction yenu mbovu kukamatwa kwa Kabendera mmeshindwa hata kumchangia pesa ya matibabu mama yake mpaka amekufa...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

    '' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waandishi 49 wameuwawa kwa mwaka 2019

    Kwa mujibu wa Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka RSF, takribani nusu ya waandishi wa habari 400 waliofungwa duniani kote wapo katika mataifa matatu tu, ambayo ni China, Misri na Saudi Arabia Akizungumza kabla ya kuchapisha ripoti ya mwaka huu ya shirika hilo kuhusu uhuru wa habari...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CPJ: Kwa mwaka 2019 hadi kufikia Desemba 01 Waandishi wa Habari 250 walikuwa wamefungwa sehemu mbalimbali Ulimwenguni

    Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari kupitia ripoti yake ya mwisho wa mwaka huku ikibainisha kuwa mwaka 2018 idadi hiyo ilikuwa Waandishi 255 China ni ya kwanza kwa kufunga Wanahabari 48 ndani ya mwaka huu huku Uturuki ikiwa nafasi ya pili ikiwa imefunga Wanahabari...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV

    Wanabodi, Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa malipo kiduchu, vyombo vya habari vinakabiliwa na ukata mkubwa, wamiliki wanaendeleza ujinga kwa kuajiri...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kauli yake hii Waziri Mwakyembe 'anawajali' au 'anawachukia' waandishi wa habari na vyombo vyao nchini Tanzania?

    “Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe. Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole abishana Vikali na Waandishi wa BBC kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwandishi Sammy Awami amejitahidi kwa kiwango kikubwa kuuliza maswali ya msingi sana lakini Humphrey Polepole amebisha vikali juu ya ukiukwaji mkubwa wa demokrasia
  14. Kasimba G

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, Hoja kuu ya Mkapa ilikuwa nini?

    Wasalaam, Kuna tatizo la kimsingi la waandishi wetu wa habari, huenda ni kwa utashi, au uoga au muono pofu. Hoja ya Bwana Mkapa Jana imesulubishwa na kijihoja Cha kutakiwa kuuwawa kwa bwana mmoja! Nadhani waandishi walitakiwa ku -capitalize kwenye hoja za mleta hoja lakini wengi wao wameacha...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Uganda: Waandishi wa Habari walioandamana kupinga ukatili dhidi yao watawanywa kwa mabomu ya machozi, wengine wakamatwa

    Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi yao Waandishi hao kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Uganda (UJA) walikuwa wakienda kukutana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa hathi/simulizi kwa Kiingereza wanatafutwa

    Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au amekwishaandika hadithi za kubuni au za kweli na angependa ziuzwe kama kitabu duniani pote tafadhali...
Back
Top Bottom