Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
Nikiwa kwenye TV yangu nimefanikiwa kupata nafasi ya kumsikiliza Mkuu wa Nchi Rais Samia Suluhu Hassan kwa mara nyingine akisisitiza Uhuru wa Vyombo vya Habari, hii ilikuwa kwenye lile Kongamano la Wanahabari, Juni 18, 2024.
Alivyokamatwa Mwandishi wa kwanza katika sakata hilo ~ Mwandishi...
TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA
Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa waandishi wa habari mbalimbali nchini, hasa siku za hivi karibuni. Tukio la hivi punde ni kukamatwa kwa...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi
Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe...
Mwandishi wa vitabu vya riwaya Abdulrazak Gurnah ambaye ni mzaliwa wa Zanzibar na sasa akiwa anaishi Uingereza, amekuwa gumzo kubwa duniani tangu wakati aliposhinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021. Sifa ya mwandishi huyu mwenye umri wa miaka 75 imesambaa kila mahali duniani na zaidi kuwafikia...
Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka.
Alikuwa na jeshi...
Huyu mzee namkubali sana, Haya mahojiano yake nahisi ni sehemu ya kwanza, KIkubwa ninachomkubali nikuwa sio mramba makalio, na yupo straight forward.
https://www.youtube.com/watch?v=4-bEP38bqD8&t=1309s
Pascal Mayalla Unamzungumziaje huyu mzee wetu
Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,?
Lengo la kuripoti matukio haya ni nini?
Nani aliyeweka format ya kuripoti.?
Kwa maoni yangu huu ni utaratibu mbovu na unasiriba haiba za mikoa au wilaya bila sababu ya msingi.
Leo...
Katika kuelekea World Press Freedom Day, ambayo huadhimishwa kila tarehe 3 Mei, waandishi waliandaa marathon ya kilomita 10. Mbio hizo zilifanyika Dodoma ambao wanatasnia wa habari wamekusanyika kwa ajili ya kuipamba siku ya uhuru wa habari duniani.
Mbio hizo zimefanyika Mei Mesi, na...
Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati
Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania.
Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu.
Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa karibu na Watu hasa wa Kawaida (chini kama akina siye GENTAMYCINE) ili hata SIku tukiondoka au...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.
========
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi, Aprili 20, 2024 jijini Dar es salaam ametoa taarifa kuhusu hali ya mafuriko nchini...
Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku.
Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au?
Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Ijumaa, Aprili 12, 2024
3:30 Asubuhi
Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared
UPDATES
Mvua na Mafuriko
Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
bwawa
habari
kauli ya serikali
kufua umeme
kuhusu
mafuriko
mafuriko bwawa la umeme la julius nyerere
mafuriko morogoro 2024
mafuriko pwani 2024
mafuriko rufiji 2024
mafuriko tanzania 2024
mkutano
mkuu
mobhare matinyi
msemaji
msemaji mkuu wa serikali
serikali
tamko la serikali
waandishiwaandishi wa habari
Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi.
Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi.
Naye Aboubakary Liongo kateuliwa kuwa Mkuu wa Mawasiliano...
Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu.
link ya vitabu
Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari
Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
🕰️ 7:00 Mchana.
📆 3 Aprili, 2024.
📍 Dodoma, Tanzania.
azungumza
habari
jeshi
jeshi la kujenga taifa
jkt
kujenga
kujenga taifa
sekta
taifa
ulinzi
vyombo
vyombo vya habari
waandishiwaandishi wa habari
waziri
waziri wa ulinzi
wizara
wizara ya ulinzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.