waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waafrika waliopo kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi duniani

    Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi. Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanavyoichukulia Vita/shambulio la ya middle east kuhuhisianisha na dini,totally wrong.

    Hamas mwezi october 7 walifanya unexpected attack ambayo iliwaduwaza watu kwa kiasi kikubwa na watu wengi afrika na akili zao mbovu wanachukulia vita hii ni ya kiimani sizani kama itakuwa ni sahihi kuivaa vita kwa njia ya dini,wakati middle east machafuko yake yameanza kipindi cha YAKOBO na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna uwezo mdogo wa kujiongoza kimaendeleo, Naomba unitajie nchi moja tu ya kiafrika inayoendeshwa na waafrika iliyo stable?

    Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali za kiisalam za kuua wakristo, n.k. South Africa - Asilimia 85 ya ardhi bado inamilikiwa na...
  7. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Hawa sio Waafrika

    Hawa sio watu weusi kutoka Afrika bali ni Aeto kutoka Philippines na kijenetiki wanafanana sana na makundi mengine ya Asia na kwenye kundi la Austronesian na wanafanana kwa mbali na mchanganyiko wa jenetiki za Madagascar
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie. Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa. Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga. Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kama tunataka kukimbia na kutoka hapa tulipo katika kundi moja na waafrika wenzetu tunahitaji mfumo wa China

    Kama tupo serious tunataka kutoka hapa tulipo katika umasikini huu tunahitaji zaidi mfumo wa China. Kama kweli tunataka kukimbia kwa kasi tunahitaji zaidi mfumo wa China kuliko wakati wowote ule. Ubaya wa huu mfumo hauhitaji watu wazembe, hauhitaji wanasiasa wenye maneno mengi na wapiga...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waafrika ndio jamii katili kuliko jamii zote ulimwenguni, Waarabu wanafuata nyuma ya Waafrika

    Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili. Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona. Mitaani case za unyanyasaji ni...
  11. bahati93

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache kujibeza kwamba sisi si kitu

    Wabongo kama mojawapo ya Waafrika tumekuwa na tabia mbaya sana ya kujibeza: kwamba hatuna akili, kwamba tuna rasilimali nyingi lakini bado masikini. Ndugu zangu kiuhalisia Haya mawazo ya kujilaumu hayana mashiko yoyote kwani kama ni Rasilimali basi Warussi walibidi wawe matajiri kweli kweli - na...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

    Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao. Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno. Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao +...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans." Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
  14. tamsana

    JamiiForums Tanzania Picha: Maoni ya mdau kuhusu tofauti ya wazungu na waafrika katika elimu

    Picha inajieleza. Comments za wadau zinahuzunisha zaidi
  15. G

    JamiiForums Tanzania Unyapaa wa Waafrika kwa dawa na chanjo za Magharibi ulianza wakati wa ukoloni

    Huwa kuna mijadala mingi mitandaoni kuhusu huduma za kinga na tiba tunazopewa na wazungu. Wapo wanaosema kuwa kuendelea kupewa misaada ya chanjo na baadhi ya tiba ni moja ya njia inayotumiwa na wazungu kupunguza kasi ya watu weusi kuzaliana. Nimefuatilia makala iliyorushwa na Dw inayoonesha ni...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna muda nahisi na kuona kuwa imani ndiyo kizuizi kwa waafrika au sijui mnaonaje wenzangu

    kwanza salaam! MBALI NA KATIBA KAMA IMANI NI MAENDELEO KWANINI TUSIFUNGE NA KUOMBA TUYAPATE? Natambua kuwa ipo nadharia ya dunia ni duara,unavyopanda mchicha hutaotesha mbuyu abadani kwa nadharia hii inanikumbusha karne moja iliyopita wengi wa mababu zetu walikuwa ni weupe walidanganywa na...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Angalia Waafrika Tulivyopitia Wakati Mgumu Sana

    Hii ni picha juu ni ya jamaa yetu (mwafrika) mwanaume anayenyongwa kwa kutumia kifaa cha kunyongea kiitwacho garrote. Picha chini ni garrote inavyoonekana kwa karibu sana, usigukilie kifaa kilivyo au maumivu yake yanakuwaje ila ni vipi binadamu aliunda kifaa hiki ili kitumike kutoa adhabu kwa...
  18. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Yanga play like big European clubs

    Yanga play like big European clubs I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na...
  19. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

    Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
Back
Top Bottom