Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato
Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni wa kutukuza uhalifu, shortcuts, victim mentality, n.k. wengi wanaishia kuona ujanja ni kujiunga na magenge (gang banging), kuona uhalifu ndio ujanja wa kupata pesa mfano kuwatukuza wauza madawa, kujikita na sanaa / michezo kwa ndoto za kuja kuwa kama kina jay z (ni wachache sana wanatoboa), wale wanaoenda vyuoni ni wachache sana na wengi huchukua kozi ambazo hazina soko mfano degree za jinsia, degree za maisha, n.k.
Kwa hali hii inakuwa ngumu sana kuwakuta wamarekani weusi kwenye kazi zenye mishahara minono za uhandisi, udakari, IT, sheria, n.k. kazi hizi wamejazana wazungu na watu wa bara la asia (kasoro waarabu) kundi hili likiongozwa na wahindi ambao wanaoongoza kwa vipato vikubwa marekani
Kuna kitu kinaitwa Diversity (uwepo wa mchanganyiko wa watu wa matabaka mbali mbali sehem moja), wamarekani wana sera za diverity sehemu za kazi, hivyo inakuwa rahisi kwa mwafrika kupata ajira.
Mishahara ni minono sana kwa kazi nilizotaja, wastani wa mishahara ni shilingi milioni 21 kwa mwezi, makato ni tofauti kila jimbo ila wastani ni milioni 7, unabakiwa na take home milioni 14
Huwezi kutumia cheti cha bongo kuombea kazi Marekani, huwa wanaangalia cheti cha nchi uliyotokea watakwambia usome upya katika vyuo vyao
Mbele ya maokoto watu wanafika huko wakiwa na 45 wanapiga kitabu, sembuse mimi mwenye 35 ambae naweza kuanza kusoma nikiwa na 36 ?
NIPO TAYARI KURUDI CHUONI MIAKA MITATU KWA LENGO LA MAOKOTO YA AJIRA NONO
kwa wazoefu naweza kuanzia wapi ?