waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Afrika haina kizazi kama cha akina Samuel Doe na Thomas Sankara. Waafrika wataumia sana na kuibiwa na mafisadi

    Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa. Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake. Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na...
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waafrika wazalendo wachukizwa na kitendo cha Victor Oshmen kuoa mzungu, wanasema ni usaliti

    Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria, ambaye amekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Italia, Victor Osimhen aliingia na mtoto wake mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na kizungu uwanjani Mashabiki wengi mtandaoni kutoka Afrika walionyesha kutofurahishwa na mchezaji huyo kuzaa na mzungu na kuwaacha...
  4. Mtoto wa Mkulima

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  5. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi Waafrika tunafeli wapi kabisa?

    Waafrika ivi tulivyo sisi ni mipango ya Mungu au ni upumbavu wetu tu. Unajua Mara nyingi najiulizaga. Hivi Hawa wenzetu weupe walimpa Mungu nini mpaka awabariki ivi. Au kuna Siri gani ambayo wanajua kuhusu ulimwengu huu lakini wanatuficha sisi watu weusi. Kila kukicha wao ndo wakuvumbuwa vitu...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ukraine na Urusi unapima akili za Waafrika

    Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) TU bila kutumia akili zao. Wazungu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanathamini madaraka kuliko elimu na ufahamu

    Watu wenye maarifa, elimu na ufahamu hawapewi kipaumbele sana hapa kwetu. Hawaheshimiwi, wala kuthaminiwa sana. Hii imekuwa moja wapo ya sababu za kurudisha maendeleo nyuma. Wapo watu waliojitolea maisha yao yote kwa ajili ya kuisaidia jamii, kwa mfano madakatari bingwa wanaotibu magonjwa ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Wazungu masikini nao wakitajirika ghafla huanza dharau kama baadhi ya Waafrika waliozibahatisha?

    Yaani Mswahili (Mtanzania) akiwa na maisha ya kimasikini/kifukara kama GENTAMYCINE siku akizibahatisha/akizipata tu ghafla utamuona anaanza kubadilika kitabia kwa kuanza kuwa na maringo (majipu), dharau, sanifu na unafki mwingi. Sijawahi kwenda au kuishi Ulaya (Marekani) na sitarajii kwenda...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Waafrika tufumbuke!

    Moja ya kitu kinachoniuma ni kuona huu utahira wa mambo ya ovyo yanayoendelea na ktk hili yanifanya niamini kweli kila mmoja kuna namna yake ya kuona!. Asili yetu tumeitupa, tunaishi tamaduni za watu weupe na hicho pekee ndio msingi wa wao kuhimiza vitu vyao vya ovyo ktk Jamii zetu!.. kuna vitu...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Afrika na unyonge ni ndugu ? Wanaijeria ndio jamii inayoongoza kwa maendeleo kwetu waafrika lakini katika ngazi ya dunia badowapo nyuma sana.

    Hapa Afrika unapozungumzia jamii ya watu walioendelea zaidi basi ni wanaijeria hata wale wambao wapo Diaspora. Najua utakimbilia kusema kuna Black americans kina Jay Z lakini hao bado ni wachache sana hawawezi kufikia wanaijeria kina Dangote, pia huko Marekani ni jamii inayowakilisha watu weusi...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wababe wa dunia wanaiparamia Afrika, Waafrika wenyewe wanashangilia!!

    Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika. Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao. Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

    Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu) na pia kulaumu weusi kwa uhalifu. Makundi ya waarabu yameanza kutembeza kichapo kwa weusi...
  15. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu. Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Gharama kubwa za Vifurushi vya Intaneti ni kikwazo kwa Waafrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti Gharama zinapokuwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Naomba tuungane kuanzisha Vitabu vya Dini ya Waafrika

    Habarini, Baada ya kupitia mijadala mingi humu JF na mitandao mbalimbali nimeona sasa kunaumuhimu wa kuungana sisi wenyewe Waafrika na kuanzisha dini/kanisa la Imani ya Waafrika/Washindi wa Afrika/Africa Catholic nk. Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi zaidi waanza kujifunza Kichina

    Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika. China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
  19. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini. SWALI Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia? Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wapigania Uhuru waliwapotosha Waafrika

    Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya wakoloni kuondoka watawala wakageuka kuwa madikteta wakawageukia waafrika wakaanza kuwatesa waafrika. Unapigania UHURU kuwaondoa Wazungu kisha unaunda makundi ya kigaidi, wasiojulikana na kihalifu (vikosi vya...
Back
Top Bottom