Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza Waafrika bali ni ujinga

Mkuu sijakuelewa fafanua ndugu yangu?????
Nakuona wewe mbantu afu umeweka bendera ya waarabu ambao babu zao walikua wanawauza wabantu kwenye misafara ya jangwa la sahara mpaka arabuni...na huku afrika mashariki wamewauza na kuwanunua sana wabantu.
 
waliosema uwendawazimu na dini tofauti yake ni ndogo naanza kuwaelewa.
 
Hawa watu ni wa kuhurumia,
Mwamposa nae anapita mulumule
Na bado wanamuita mtume
Hii dini ni ya kizwazwa
Tuone kama Shehe au Imamu afanye haya tutakavyo msulubu
 
Back
Top Bottom