Waafrika tuache kujibeza kwamba sisi si kitu

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,141
2,020
Wabongo kama mojawapo ya Waafrika tumekuwa na tabia mbaya sana ya kujibeza: kwamba hatuna akili, kwamba tuna rasilimali nyingi lakini bado masikini. Ndugu zangu kiuhalisia Haya mawazo ya kujilaumu hayana mashiko yoyote kwani kama ni Rasilimali basi Warussi walibidi wawe matajiri kweli kweli - na ukitizama wao ni weupe.

Sasa kama Russia ni masikini wa kutupwa mimi naona hakuna haja ya kuwasimanga Wakongo kwamba wana rasilimali nyingi lakini bado masikini. ukiangalia nchi zinazoongoza kwa GDP Russia anashika nafasi ambayo hastahili kabisa, hivi India, France, germany wanamzidi vipi mrusi na ukiangalia mrusi nchi umetulia wala hakuna vita kama Congo.

Kwa hiyo Mambo nchi ni tajiri au ni maskini hizo ni kurda na mwenyezi Mungu wala tusisutane. Basi ndo hayo wandugu nipo zangu kwenye kigoda nakunywa zangu uji wa blueband.

ndevu kakosa ng'ombe lakini mbuzi kapewa.
 
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za mskafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatuka na kuwadhalilisha maswahaba. Haijui kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wanaqufr kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutokwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.
 
hizo ni kurda na mwenyezi Mungu wala tusisutane.
👆👆👆
hapo ndipo ulipo haribu uzi wako nenda kaombe toba
 
Back
Top Bottom