Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,504
51,099
Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika.
Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni
Akasema kuwa ukiondoa waafrika, wale wanaopinga waraka wake, polepole wataelewa tu.

Alipoulizwa kuhusu uwezekano wa Kanisa kumeguka kwa sababu ya suala hilo, Papa akasema hana hofu na hilo maana mazungumzo ya kumeguka kutokana na mabadiliko aliyoyafanya katika mwenendo wa kanisa hilo yanafanywa na watu wachache. Papa akasema mitizamo ya wanaopinga anawaachia wao ila yeye anasonga mbele!.

Taarifa hii imeripotiwa na gazeti maarufu la Israel liitwalo Jerusalem Post unaweza kuisoma hapa:

-------------------------------------------------------------

Pope says Africans are 'special case' when it comes to LGBT blessings​


Pope Francis said in an interview published on Monday that Africans were a "special case" in the opposition of bishops and many other people in the continent to homosexuality.

But he said he was confident that, except for Africans, critics of his decision to allow blessings for same-sex couples would eventually understand it.

Blessings were allowed last month in a document called Fiducia Supplicans (Supplicating Trust), which has caused widespread debate in the Catholic Church, with particularly strong resistance coming from African bishops.


"Those who protest vehemently belong to small ideological groups," Francis told Italian newspaper La Stampa. "A special case are Africans: for them homosexuality is something 'bad' from a cultural point of view, they don't tolerate it."

"But in general, I trust that gradually everyone will be reassured by the spirit of the 'Fiducia Supplicans' declaration by the Dicastery for the Doctrine of the Faith: it aims to include, not divide," the pope said.

Blessings were allowed last month in a document called Fiducia Supplicans (Supplicating Trust), which has caused widespread debate in the Catholic Church.​


Pope says priests should consider the "context," "sensitivities" of where they are​

Last week, Francis appeared to acknowledge the pushback the document received, especially in Africa, where bishops have effectively rejected it and where in some countries same-sex can lead to prison or even the death penalty.

He said that when the blessings are given, priests should "naturally take into account the context, the sensitivities, the places where one lives and the most appropriate ways to do it."

In the interview with La Stampa, Francis said he was not concerned about the risk of conservatives breaking away from the Catholic Church due to his reforms, saying that talk of a schism is always led by "small groups."

"We must leave them to it and move on...and look forward," he said.

Turning to Israel and the Palestinians, he said "true peace" between them will not materialize until a two-state solution is implemented and lamented that their conflict was widening.

Francis confirmed he is scheduled to meet the president of his native Argentina, Javier Milei, on Feb. 11, and that finally visiting the country - where he has not returned since becoming pope in 2013 - is a possibility.

He said his agenda for 2024 currently includes trips to Belgium, East Timor, Papua New Guinea and Indonesia.

Speaking about his health, which has taken some knocks in recent years with hospitalisations, mobility problems and canceled trips or events, the 87-year-old said, "there are some aches and pains but it's better now, I'm fine."
 
Asante papa kwa kuwaambia ukweli waafrika kwamba ni suala la muda wataelewa tu na kuukumbatia ushoga kama walivyoacha tamaduni zao na mila zao na kuukumbatia ukristo na uislam.

Kwa maana hiyo, kama watu wa afrika waliweza kuacha mambo yao na kuukumbatia uyahudi, uroma na umedi hawatokuwa na akili ya kuukataa ushoga
 
Unazungumzia stori za zilipendwa.
Umefika sasa hivi uko unapopasema?
Fanya huo ujinga uone.
Sio kama haupo upo ila watu wameshastaarabika cha ajabu wageni ndio wanafanya wenyeji wameuacha.
Ule ni utamaduni wenu watu wa pwani. Hamuwezi kuacha labda mfanye Kwa kificho.
Sikiliza wimbo wa Msafiri Kondo aka Solo Thang, Mambo ya pwani
 
Back
Top Bottom