Waafrika ndio jamii katili kuliko jamii zote ulimwenguni, Waarabu wanafuata nyuma ya Waafrika

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,716
36,186
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni nyingi mno. Watoto wa kambo wanachomwa pasi na mama wa kufikia, wadada wa kazi wakipoteza kijiko wanakatwa mshahara, wanapigwa makofi.

Mateso kila kona.

Wenye mamlaka nao wanawatesa wananchi kwa kutumia kalamu na computer.

Afrika ukiiba yai na umwshikwa na Waafrika wenzako unapewa adhabu kama umeiba fedha za kijiji.

Nina video nyingi za ukatili wa Mwafrika, naweka hii moja kama mfano.

👇👇👇👇
 
Jamaa yupo sahihi.

Hata nchi zinazoongoza kuunda zana za kivita ni za Afrika.

Nchi inayoongoza kuvamia nchi zingine ni inatoka Afrika.

Vita zinazopiganwa kuanzia mwaka juzi zote ni nchi za Afrika.

Vita ya kwanza na ya pili zote kasababisha muafrika.

Kuna gereza hilo mfungwa akienda atafurahi linaitwa Guantanamo. Lipo Afrika.

Kuna mwafrika anaitwa Hitler alikua na concentration camps anafanyia majaribio wanadamu yeye Nguyen, Stalin, Ceausescu hao waafrika ni balaa.

Kubwa kuliko juzi kuna waafrika wamevamia tamasha huko Urusi wameua watu 130.

Waafrika acha tu
 
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.

Mitaani case za unyanyasaji ni nyingi mno. Watoto wa kambo wanachomwa pasi na mama wa kufikia, wadada wa kazi wakipoteza kijiko wanakatwa mshahara, wanapigwa makofi.

Mateso kila kona.

Wenye mamlaka nao wanawatesa wananchi kwa kutumia kalamu na computer.

Afrika ukiiba yai na umwshikwa na Waafrika wenzako unapewa adhabu kama umeiba fedha za kijiji.

Nina video nyingi za ukatili wa Mwafrika, naweka hii moja kama mfano.

View attachment 2944364
Ata wewe ni mwafrika kwa maana hiyo wewe ni katili hilo halina ubishi
 
kuna haja gani ya kulazimisha utaje muarabu wakati hakuhusika kabisa na maelezo yako? mnawashwawashwa sana
 
Mkuu mtu mweusi hana huruma mbinafsi tena mwenye ukatili na visasi
Mkuu ukitaka thibitisha angalia viongozi wetu jeshi la police na hata madoctor kuna doctor huko Tanga waliacha mtu afe juu ya 150000 asee
 
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni nyingi mno. Watoto wa kambo wanachomwa pasi na mama wa kufikia, wadada wa kazi wakipoteza kijiko wanakatwa mshahara, wanapigwa makofi.

Mateso kila kona.

Wenye mamlaka nao wanawatesa wananchi kwa kutumia kalamu na computer.

Afrika ukiiba yai na umwshikwa na Waafrika wenzako unapewa adhabu kama umeiba fedha za kijiji.

Nina video nyingi za ukatili wa Mwafrika, naweka hii moja kama mfano.

👇👇👇👇
View attachment 2944364
Kuna ukweli mchungu kuhusiana na suala hili

Aidha, hata tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kwamba watu weusi wengi zaidi ndio wanaongoza kuwa na Low IQ hapa duniani, Kisha wanafuata Waarabu.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kiwango cha IQ aliyonayo mtu na hali yake ya ustaarabu aliyonayo pamoja na hisia za kuwa na huruma au ukatili.
The lower the IQ the higher the cruelty/brutality, and vice versa is also true.
Vile vile, watu wenye IQ ndogo pia Wana viwango vidogo vya ustaarabu/kustaarabika, hii ni kutokana na kuwa na uwezo duni wa kufanya 'rational judgement.'
 
umeanza vizuri ila apo mbele umejimix

ushaidi uliopo unaonesha iq na ukatili havina uhusiano

sanasana wa iq kubwa anauwezo wa kufanya ukatili mkubwa kuwahi kufikirika tena kwa ustadi mkubwa yani wwe wa iq ndogo hauwez hata kuchomoa
 
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni nyingi mno. Watoto wa kambo wanachomwa pasi na mama wa kufikia, wadada wa kazi wakipoteza kijiko wanakatwa mshahara, wanapigwa makofi.

Mateso kila kona.

Wenye mamlaka nao wanawatesa wananchi kwa kutumia kalamu na computer.

Afrika ukiiba yai na umwshikwa na Waafrika wenzako unapewa adhabu kama umeiba fedha za kijiji.

Nina video nyingi za ukatili wa Mwafrika, naweka hii moja kama mfano.

👇👇👇👇
View attachment 2944364
Nikwel kabisa nakubaliana na wewe 100%
 
Ndio maana waliotuletea hizi dini, shetani ni picha nyeusi kama mkaa. Hata kubatiza walianza na haya maneno "kama wewe kweli ni binadamu, ninakubatiza...".
 
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni nyingi mno. Watoto wa kambo wanachomwa pasi na mama wa kufikia, wadada wa kazi wakipoteza kijiko wanakatwa mshahara, wanapigwa makofi.

Mateso kila kona.

Wenye mamlaka nao wanawatesa wananchi kwa kutumia kalamu na computer.

Afrika ukiiba yai na umwshikwa na Waafrika wenzako unapewa adhabu kama umeiba fedha za kijiji.

Nina video nyingi za ukatili wa Mwafrika, naweka hii moja kama mfano.

👇👇👇👇
View attachment 2944364
Haloo, Trump ongezea mia Moja..
 
Back
Top Bottom