vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

    SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake. Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao. Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao. Wapo maskini wa aina...
  2. Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

    Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao. Aisee tutunze afya zetu.
  3. PreGE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

    Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli...
  4. Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

    Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize...
  5. P

    Kama nchi naamini tuna uwezo wa kufanya vizuri zaidi ya hivi tunavyofanya

    Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake...
  6. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  7. Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
  8. Tunapofunga mwaka ingekuwa vizuri kama afande waitara na samuel kiboye wangepatana

    Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha. Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?" Nawaomba hawa watu watanzue...
  9. Ananiongelea vizuri kwa Mama Mkwe

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga. Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa...
  10. Nawezaje kuboresha waved hairy zangu, ziwe vizuri zaidi

    Wakuu Nywele zangu ni waved lakini kidogo sana naombeni njia ya kutengeneza matuta makubwa kwenye nywele.
  11. Nini kinapelekea Single Movies kutokufanya vizuri Tanzania?

    Tangu Kanumba kufariki, soko la Movie moja moja hapa Tanzania limekuwa gumu sana, na waigizaji wengi sasa wamejikita kwenye vipande vya video fupi fupi za kupost instagram na YouTube, na waigizaji wakubwa wamejikita zaidi kwenye Tamthilia. Soko la Movie Moja moja (Single Movie) kwa kweli...
  12. Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

    Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote. Tufunguke hapa
  13. Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

    Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi...
  14. Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  15. Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

    Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana. Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
  16. Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

  17. Viwanja vizuri kikatiti

    Kwa wapendwa wote wanaopenda viwanja katiti tunavyo 20 kwa 15 kwa ml 3.5 karibuni wote pigeni 0699-22-79-42 Karibuni Wote xmass hiyo na punguzo la bei ukitaka eneo mahali Arusha to boma call me
  18. Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

    Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani. Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
  19. Matumizi ya Sukari na Kutolala Vizuri huathiri Ubongo wako kila dakika

    Ubongo ni kiungo muhimu katika Mwili wa Binadamu ambacho baadhi ya tafiti zinakitaja kuwa kama 'Msimamizi Mkuu' wa utendaji kazi wote wa Mwili. Ili kiungo hiki kifanye kazi kwa usahihi, ni muhimu kutofanya vitu vinavyoweza kuathiri utendaji wake ikiwemo Kufanya Mazoezi ya Mara kwa Mara na...
  20. Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…