Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,317
12,617
Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.

Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama timu nyingine kwenye kundi, lakini hali yao ya udhaifu ni ileile tu ya ubovu wa siku zote.

Kama kuna anaebisha subirini mechi zinazokuja muone. Wachezaji wana vipaji, akili inataka lakini kutenda kinachotakiwa hawawezi. Uzee...uzeee..uzeee, ukiwa mzee hata ukipata kajeraha kadogo na maumivu kidogo utachelewa kupona. Mzee akicheza mechi moja leo atahitaji wiki mbili ili awe na energy yake.
 
Simba ni ileile ya Robertihno tu!!! Robertihno pia alikuwa akitengeneza nafasi ambazo hazitumiki kama ilivyo kwa Benchika, shida ni wachezaji hakuna, wamechoka, wako chini ya kiwango
 
Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.

Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama timu nyingine kwenye kundi, lakini hali yao ya udhaifu ni ileile tu ya ubovu wa siku zote.

Kama kuna anaebisha subirini mechi zinazokuja muone. Wachezaji wana vipaji, akili inataka lakini kutenda kinachotakiwa hawawezi. Uzee...uzeee..uzeee, ukiwa mzee hata ukipata kajeraha kadogo na maumivu kidogo utachelewa kupona. Mzee akicheza mechi moja leo atahitaji wiki mbili ili awe na energy yake.
Na bado kesho ndiyo utaumia zaidi.
 
Alisikika mlevi mmoja akiweweseka
 
Top 10 Best Teams in Africa 2023 CAF Clubs Ranking​

Top 𝟏𝟎 CAF clubs ranking before the start of the 2023/24 CAF Champions League and Confederation Cup group stage games:

1. Al Ahly
πŸ‡ͺπŸ‡¬
β€” 83 points.
2. Wydad AC
πŸ‡²πŸ‡¦
β€” 74 points
3. ES Tunis
πŸ‡ΉπŸ‡³
β€” 56 points
4. Mamelodi Sundowns
πŸ‡ΏπŸ‡¦
β€” 51 points
5. Raja Club Athletic
πŸ‡²πŸ‡¦
β€” 51 points
6. Zamalek SC
πŸ‡ͺπŸ‡¬
β€” 39 points
7. RS Berkane
πŸ‡²πŸ‡¦
β€” 37 points
8. CR Belouizdad
πŸ‡©πŸ‡Ώ
β€” 36 points
9. Simba SC
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
β€” 35 points
10. Pyramids FC
πŸ‡ͺπŸ‡¬
β€” 35 points
Hiyo timu unayodai mbovu ni bora kuliko Medeama wala Yanga!! Namba hazidanganyi!! Icheki nafasi ya Wydad kwenye mkeka wa CAF!
 
Na bado kesho ndiyo utaumia zaidi.
Kaka kama umeuangalia vizuri mchezo, Simba ilishinda mchezo ule kwa bahati tu na zaidi kwa onana. Onana hakufanya lolote wala chochote zaidi ya kuutumbukiza mpira wavuni kama ajali tu. Ashukuriwe sana kipa Ayub, ndie aliyekuwa man of the match.
 
Ndio kazi yake kufunga, ulitaka afanye nini?
 
Hiyo kucheza vzr tunawaachia nyie vilaza wa mashindano,cha muhimu ni matokeo tu.
Nakubaliana na wewe kuwa kikubwa ni matokeo tu. Lakini kama mwanamichezo lazima uchanganye matokeo ya timu na ukweli ili kuisaidia timu. Binafsi mm kwenye mechi za kimataifa huwa nazipenda timu zetu zote zisonge mbele ili tuwe na utani wenye faida. Lakini hii hainifanyi inizibe macho yangu kuangalia mpira. Aliyecheza vizuri kupitiliza jana ni Ayub.
 
Kaka kama umeuangalia vizuri mchezo, Simba ilishinda mchezo ule kwa bahati tu na zaidi kwa onana. Onana hakufanya lolote wala chochote zaidi ya kuutumbukiza mpira wavuni kama ajali tu. Ashukuriwe sana kipa Ayub, ndie aliyekuwa man of the match.
Huyo kipa Ayubu kwani ni wa Waydad au wa utopolo na amesajiliwa kwa kazi gani? Na Onana naye huo mpira aliukota tu akautumbukiza kama unavyotoa coin mfukoni na kuitumbukiza kwenye dubwi?
 
Back
Top Bottom