Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa?
Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati.
"Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
Habari wadau JF,
Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
Tanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia.
Ujio wa Rais Samia Suluhu umevileta karibu karibu kila kitu kuwa rahisi sana kuliko wakati wowote wa Uhai wa Taifa...
Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana.
Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
Amesikika Profesa maarufu wa Chuo Kikuu cha Dar Issa Shivji akiongelea namna wafanyabiashara wakishakuwa wametajirika wanavyovyamia masuala ya kisiasa na kitaalam. Labda ni baada ya kusoma majina ya wale wajumbe wa bodi ya TANESCO ndio akajenga hoja alizozijenga. Kwamba wafanyabiashara wenye...
Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili.
Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti...
Kuna watu wanafikiri kule China tunaheahimiwa kuliko sehemu nyingine Duniani kama US . Huu sio ukweli tofauti ni kwamba kwasababu US vyombo vya habari viko wazi tunasikia matukio mengi lakini wa China ni wabaguzi mara 100 zaidi
Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana.
Shida ya jeshi la polisi ni latina.
Shida ni CCM,
Shida ni serikali iliyopo madarakani.
Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika.
Latina yao...
1. Anza na panga siku yako vyema
Usikimbilie kuanza majuku yako ya siku bila kukaa chini na kutumia dakika chache za kutafakari mambo kadhaa.
Tafakari ni jambo gani muhimu zaidi ili uweze kulipa kipaumbele katika siku yako.
Jifunze kujiwekea malengo, haya yatakuwezesha kujua nini unachotakiwa...
Cheo ni dhamani, sitakitumia cheo changu au cha mtu mwingine kwa faida ya....
Kuwa kiongozi ni dhamani kubwa aliyopewa kiongozi toka kwa raia waliomdhamini kuwaongoza. Ni wajibu wa kiongozi kulinda heshima hiyo kwa manufaa ya waliomchagua na kulinda heshima yake na future yake.
Hali kwa sasa...
Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya.
Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani.
Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje.
Mimi naona hii ligi...
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama...
Kutokana na wimbi la CORONA sasa hivi ofisi nyingi zimefungwa na raia wanafanyia kazi majumbani! Sasa juzi kati nimepata deal kutoka ofisi nyingine wanataka waniajiri. Sasa nikawa nawaza kwa sauti kwa vile mwajiri wangu yuko kwenye mchakato wa kufunga ofisi jumla muda si mrefu, nikapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.