Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.
Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.
Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga miradi ya namna hii. ( Land Reclaimation Projects).
Kama nchi hii tunataka tufanye jambo zuri kwa mara ya kwanza ili kuwafundisha vizazi vijavyo namna bora ya kutumia akili walizopewa na Mungu basi mradi wa Bonde la Mto Msimbazi pamoja na Daraja la Jangwani tuwape waholanzi.
Muwe na Jumapili Njema.