Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko.
Lakini...
Wakuu mko salama?
Nimekuwa nikisia stori nyingi kuhusu nanasi, kuwa ukila unafanya uke kuwa na harufu nzuri, wengine wanasema unaongeza "ladha", yaani ute/maji maji yanakuwa na utamu kama vile umechanganywa na sukari hivi?
Kuna ukweli kwenye hili wataalam wa JamiiCheck?
Kujisitiri vema ni jambo la muhimu sana kwa wanaume, lakini pia zaidi sana kwa wanawake, ikiwa ni kwenye mihangaiko au safarini. Kujiandaa na dharura walau na kanga kwenye mkoba ni jambo la maana sana unapokua kwenye ibada za maombezi, sokoni n.k..
Katika matukio mengi hivi karibuni imekuwa ni...
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea.
Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli.
Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali.
Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na uongozi wa nchi. Kutokana na assessment yangu ya haraka huko mitandaoni, nimeona kuwa vijana hawako...
Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni...
Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri.
Kuna mashirika ya umma
Kuna taasisi za umma
Kuna wakala wa serikali.
Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi.
Kuna bodi mbalimbali
Kuna tume mbalimbali...
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa.
Sasa kuna rafiki...
Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!!
Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki Ndakindaki wa Simba Niliambiwa na Jamaa Angu Geof Lea Ambae ni Mwanahabari wa Kituo cha EFM na Pia Yeye...
Kuna ule msemo kuwa Chama ni mchezaji wa mechi ndogo, leo umeanza kuniingia kichwani. Inafika kipindi unawaza, hivi huenda labda kwenye mechi hizi za Ligi huwa hawatumii Uchawi ndio maana Chama anaonekana wa kawaida.
Kwenye mechi kama hizi mchezaji tegemeo wa timu ndipo unapaswa kutokea na...
Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani.
Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
Ukiangalia vizuri mapendekezo ya marekebisho ambayo vyama na wadau wanapigia kelele yarekebishwe ni ya msingi. Lakini sioni faida yeyeote ya maana kwa chama tawala cha CCM wala serikali kwa kuweka sheria nusu nusu na kuendeleza majibizano, maandamano na fikra kwamba chaguzi sio huru. Raisi samia...
Wadau next weekend nitakuwa Mtwara then Lindi town. Naulizia anae ijua vizuri bar ya shooters ya Mtwara pamoja na viwanja vingine vinavyo happen hapo Mtwara mjini.
Kingine, hapo Lindi je kuna kiwanja ambacho kina happen kama shooters? Ni kiwanja gani au viwanja gani please?
With much thanks in...
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%.
Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.
Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
Habari JF , Hii ni kutoka kwa prof pendwa Janabi .
Iende kwa wote ambao huwa wanajisifa kwetu ni wanene mara nimerithi unene etc...
Binafsi nimeipenda sana hii
---
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema unene kupita kiasi si mzuri kwa afya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.