vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Kuwajua wengine ni vizuri, lakini kujijua mwenyewe ni vizuri zaidi

    Watu hujifanya wanawajua watu vizuri sana in and out lakini sio kila unachokijua kina ukweli wowote ambao umethibika au amethibitisha mtu mwenyewe. Watu huwajua wengine kupitia maneno ya watu. Sasa Je wewe unajijua vizuri? Ama unajua unavyozungumziwa? Yanayozungumzwa juu yako ni ya kweli...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

    Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi.. Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania...
  3. Nyanda Banka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu ni vizuri kama mkiyafahamu haya

    Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume. Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie. Mwili wako sio kiburudisho, kila mwanaume Ajiridhishe. Mwili wako sio pazia la Sebuleni, kila...
  4. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kama umefaulu vizuri PCB kasomee Radiology au Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu rudi tena useme vizuri kanusho la serikali "kufulia"

    https://www.jamiiforums.com/threads/tanzanialeaks-apuuzwe-hazina-haijafilisika.2236060/ Heshima kwenu wakuu wenzangu Kama mtambuka juzi kati member wa JF na Waziri wa Fedha alikuja humu kukana kwamba serikali haijapungukiwa uwezo wa kifedha. Hoja yake ilijikita kuonyesha serikali ina uwezo...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Huyu alilazimishwa kuhamia CCM utokea Chadema ukimsikiliza vizuri.

    Embu tumsikilize!!
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

    Asalam alyekum wakuu. Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya. Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa...
  8. Transistor

    JamiiForums Tanzania Je unatatizo la umeme mdogo,motor na friji havifanyi kazi vizuri?

    Umeme mdogo usikkwamishe shughuri zako.. Nafynga vifaa vitakavyoondoa tatizo hilo katika vifaa vyako 0785165877 Transistor
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

    ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k. Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  11. safuher

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Challenge: Una vidole vizuri au vibaya? Hebu tuoneshe👀

  13. comte

    JamiiForums Tanzania Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
  14. S

    JamiiForums Tanzania TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

    Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

    Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwekwe vigezo vya elimu, viti maalumu n.k Muda wa kuchangia usifanane kwa wabunge wote. Nilitamani Dr. Kimei aongezewe muda.

    Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu. Hatusitahili kuchuka kila kitu...
  17. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

    Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya! Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu. Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama Dodoma Mwanza au Dar. Kifupi hailipi. Nawaza ningeweka UTT leo ningekuwa...
  18. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Tanzania Avatar ya member gani ulikuwa unaiangalia juu juu lakini baada ya kuiview ukaielewa vizuri

    Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka nilipo amua kuiview Mahondaw huyu nilikuwa sielewi ni nini kumbe ni shape ya mwanamke Meneja wa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa milioni 10 Saccoss ambayo ipo vizuri

    Wakuu Poleni na majukumu, moja kwa moja Mimi Nina shida ya pesa. Lakini nimepata ushauri kwamba kama nahitaji kukopa basi nitafute Saccoss maana wanasema Saccoss ni nzuri zaidi kuliko bank au mtu binafsi yaani Kausha Damu. Naomba kwa anayefahamu Saccos wanayokopesha na iko vizuri. Nipo Jiji la...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
Back
Top Bottom