vitendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mdau: Serikali idhibiti vitendo vya rushwa katika mchakato wa kuwapandisha vyeo watumishi

    Hakuna jambo linaloweza kuchafua ufanisi wa taasisi au kampuni kama rushwa katika mchakato wa kupandisha vyeo. Ni jambo linalochochea malalamiko na kutia doa utendaji wa kazi. Leo, tunapenda kuangazia suala hili kwa dhati. Tunatambua kuwa kuna wafanyakazi wengi wenye vipaji na uwezo wa kipekee...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Neno "Unaniimiza", vilio na vitendo vya kuonyesha anaumia ndivyo hupandisha midadi wanaume wengi kujiona rijali, Je wanaume kwa asili ni wabakaji ?

    Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali. Ila pia kuna kufeki maumivu, wanaume wengi hasa wanaotoka vijijini kuja mjini wanakuwa wahanga wakikutana na wadada wajanja...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Rais Samia unawaonesha kwa vitendo wasemaji wa ovyo ovyo, vizabi zabina

    Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina Nanukuu "Wako...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabaraza na vikao vinavyoitwa vya Demokrasia lakini vitendo hakuna

    Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha. Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona. Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu. Swala la demokrasia ni gumu kwao. Wafanye...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Udini, Ukanda na sasa Utanganyika na Uzanzibari; hizi mbegu zisipopigwa marufuku kwa vitendo hatutobaki wamoja

    Mwenyenzi Mungu alipotupa rasilimali alitupa pia mtu wakutupatia uhuru; mtu huyo alipopewa mamlaka yakutuongoza alipewa pia mbinu sahihi za kutuleteta pamoja. Mbinu hizi zilipitwa tunu na zilipandwa kwenye nafsi za watanzania . Baadhi ya mambo yaliyotuleta pamoja yalikuwa. 1. Lugha- pamoja na...
  7. Wichoka Son

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
  9. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunataka kuona msimamo wenu kwa vitendo kuhusu kutoshiriki uchaguzi

    Moja ya sifa nzuri na thabiti ya kiongozi ni kusimamia anachokiamini hata kama msimamo huo unaweza kumdhuru binafsi au na taasisi anayoongoza. Msimamo wa CHADEMA ulioamuliwa na Kamati Kuu yake na kutangazia dunia hadharani kupitia kinywa cha Katibu Mkuu wake John Mnyika na Mwenyekiti Freeman...
  10. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya kihalifu nchini tishio kwa usalama wa raia na mali zao

    Ukatili na matendo ya unyang'anyi kama vile panyaroad, tatu mzuka na uhalifu wa aina nyingine nchini tayari ni tishio kwa usalama wa raia na mali zao. Hatua za kuudhibiti naona ni kama zinaenda kwa zimamoto huku vijana wengi wakizidi kujiingiza kwenye u-panya road, tatu mzuka, na matendo...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Russia vyajisalimisha Bakhmut

    Ukrainian servicemen of the 10th Mountain Assault Brigade "Edelweiss" shift position after firing rockets from a BM-21 'Grad' multiple rocket launcher towards Russian positions, near Bakhmut in the Donetsk region Snapshot Ukraine claimed to have the “strategic initiative” near Bakhmut with...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kichawi wanapokuwa internship "Field" au mafunzo kwa vitendo

    WANAFUNZI WA KICHAWI WANAPOKUWA INTERNSHIP "FIELD" AU KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO. Anaandika, Robert Heriel Baada ya kupokea kozi fupifupi au ndefu katika taaluma ya Uchawi na ulozi ni muhimu kwenda Internship au field au Kwa Kiswahili fasaha tunasema kwenda kwenye mafunzo Kwa vitendo for...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni pale tu Marekani inapotekeleza ahadi zake kwa vitendo ndipo uhusiano kati ya China na Marekani unaweza kuboreka

    Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Imeshindikana vipi kuwapa tenda DP world au shirika lingine kuwa train kwa vitendo watanzania kusimamia bandari kwa miaka miwili kisha wao kuondoka?

    Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu? Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao. Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Polisi Kupunguza Vitendo vya Uhalifu Kata ya Machame Mashariki

    Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiripotiwa ya mara kwa mara. Hayo yamesemwa na Naibu waziri Wizara ya Mambo...
  17. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Zanka, kata ndogo iliyokithiri vitendo vya mauaji, ubakaji

    Bahi. Kata ya Zanka wilayani Bahi, imegubikwa na matukio ya mauaji na ubakaji, huku wananchi wakilalamika hatua stahiki kutochukuliwa na mamlaka husika. Zanka ni kata ya siku nyingi inayoundwa na vijiji vya Zanka, Mayamaya na Mkondai, ikiwa na vitongoji sita vya Zamahero, Halo, Lulunde...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili-KIDGUS

    UTANGULIZI Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vitendo viovu vya kulawiti, ama kuwabaka watoto wadogo, na vitendo hivyo vimekuwa vikifanywa na watu wa karibu walioaminiwa na kupewa dhamana ya kuwahudumia watoto hao kama walimu na walezi wao katika mazingira ya shule zao ama makazi...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Je, uzalendo ni kwa walalahoi tu mbona viongozi wetu hawaoneshi kwa vitendo?

    Je wajua ?? 1. Raisi halipi kodi 2. Makamu wa raisi halipi kodi 3. Waziri mkuu halipi kodi 4. Mawaziri hawalipi kodi 5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi 6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi 7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi 8. Wabunge hawalipi kodi Hawa wote hakuna hata Senti Moja...
Back
Top Bottom